Na kapeace alivyonona babu utafaidi wallah 😹😹😹Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool
Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪
Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
Kujibia hili, ungekuwa umewahi kuwa na mahusiano ya siri na pia na familia ungeweza kupata majibu sahihiOk, nini chimbuko la utii halisi?
Au kipi kinaufanya utii huu uwe halisi na huu uwe wa kuigiza?
😹😹😹 Wewe weekend ijayo hii ya ka peaceHahaa nasubiri mechi yenu iishe jumapili baada ya ushuhuda mi ntaenda j3😂
Aiseee!! Mungu awasaidie hawa wanaume wanopenda kusuuza rungu kila kona! Wadada hawacheki na yoyote🙆🏽♀️Uzuri wa wadada wa mjini hawakubali kuzaa kijinga hivyo labda uwavizie wakiwa bado wajinga wajinga au huko mavumbini sema balaa lao ni ushirikina hapo kipengele wanaroga mnoo, wanashare dudu na waganga wa jadi, na nyota unaibiwa kwisha habari yako
Nikuokotee mawe?Na kapeace alivyonona babu utafaidi wallah 😹😹😹
Ana lips nzuri na lile shape kazi unayo…!!
Mzee punguza kutoa udenda utaangukia pua😂Hayo ndiyo maneno sasa, let's plan for this
Si umesema utaniletea Kiko jioni, nasubiri
Kumbe kuna ajira na husemi we mzee sasa acha nami nisake hiyo pisi nikuuzie😂Hahaha.........hili likitiki, jiandae kupokea mshahara wa miezi 3 kwa pamoja
Itakuwa ni bonge moja la deal
Hata Wazee tunapenda mali safi 🤭
Unajua mengi sana Mjukuu kuhusu hayo mambo, umewahi kukutwa na huu msala kwa mtu wako wa karibu Nini?Uzuri wa wadada wa mjini hawakubali kuzaa kijinga hivyo labda uwavizie wakiwa bado wajinga wajinga au huko mavumbini sema balaa lao ni ushirikina hapo kipengele wanaroga mnoo, wanashare dudu na waganga wa jadi, na nyota unaibiwa kwisha habari yako
Can’t wait 💃🏽😹😹😹 Wewe weekend ijayo hii ya ka peace
😹😹😹 Sasa huyo kijana alikuwa na zigo au mikao ilikuwa ya kinyani nyani mpaka mkachanana??Ndio we endelea kumtunzia babu usichanike uke sawa😅
😹😹😹 Sasa huyo kijana alikuwa na zigo au mikao ilikuwa ya kinyani nyani mpaka mkachanana??
Em elezea vizuri mahi..!!
Ndo wanachofanywa acha wakomeshwe wao si wanasema ni wanaume acha wanyooshwe, mizizi inatafunwa sana wengine wanaweka dawa chini ya ulimi kiwango atakachosema ndicho hichohicho atahongwa, (hii niliishuhudia kwa mdogo wangu wa baba mkubwa) 2020-2021, lakini mwisho wake sio mzuri, saiv kachakazwa ovyo ovyo ndo anatafuta mume sasa aolewe, kafika hatua ya walau ampate mwanaume atakayempa pesa ya mahari apeleke kwao na kamkosa, kasharoga mpk basi mambo yamegomaAiseee!! Mungu awasaidie hawa wanaume wanopenda kusuuza rungu kila kona! Wadada hawacheki na yoyote🙆🏽♀️
Kuna jirani yangu siku moja alioga dawa mbele yangu anasema hawa wanaume bila kuroga hawasikii kabisa! Nilikuwaga nasikia tu haya mambo, Kweli haikupita dk 10 huwezi amini, bwana alikuwa kampotezea mdada kwa muda ila ndio kachukua boda kutoka mjini jua kali kama nini akaja pale kwa huyo dada! Yani dada anaishi vzr na anakaa nyumba nzuri hana kazi kumbe ndio habari zake hizo kuchota wanaume kwa dawa🙌🏾
Mzee tapeli wewe😂😂Hahaha...........we fanya upite kunisalimia, ule Mkataba upo tayari 🤗
Nimeona mengi babu acha tu, pia hali ya maisha ni ngumu na wanawake tuna tamaa ya maisha mazuri ukiongeza na akili zetu fupi basi wengi wanafanya maamuzi ya kijingaUnajua mengi sana Mjukuu kuhusu hayo mambo, umewahi kukutwa na huu msala kwa mtu wako wa karibu Nini?
Mitego ni mingi sana, kama hauna macho ya rohoni unaweza kuingizwa kwenye huu mtego
Hahahah umenikumbusha ile meme eti ikashabaki hivi😲 ndio tunapewa tusio na magari😂😂Ndo wanachofanywa acha wakomeshwe wao si wanasema ni wanaume acha wanyooshwe, mizizi inatafunwa sana wengine wanaweka dawa chini ya ulimi kiwango atakachosema ndicho hichohicho atahongwa, (hii niliishuhudia kwa mdogo wangu wa baba mkubwa) 2020-2021, lakini mwisho wake sio mzuri, saiv kachakazwa ovyo ovyo ndo anatafuta mume sasa aolewe, kafika hatua ya walau ampate mwanaume atakayempa pesa ya mahari apeleke kwao na kamkosa, kasharoga mpk basi mambo yamegoma