Babu nasubiri zawadi yangu.Mjukuu zawadi yako inakusubiri, sio kwa minyama hii 😅
Kuna comment umemjibu SeranNimeona mengi babu acha tu, pia hali ya maisha ni ngumu na wanawake tuna tamaa ya maisha mazuri ukiongeza na akili zetu fupi basi wengi wanafanya maamuzi ya kijinga
😹😹😹 Mmoja mmoja ndio mpango wote mtafikiwa na babu..!!Mi nasubiri foleni mkuu! Mkitoka nyie nipo kwa nyuma😅
Kipindi hicho nilikuwa juu ya mawe naishi kibikira maria alinambia nyie zenu si mnatumia kukojolea acha sie tufanyie kazi yake tuishi tunavyotaka, saiv ananiita mchawiHahahah umenikumbusha ile meme eti ikashabaki hivi😲 ndio tunapewa tusio na magari😂😂
Ukiwa mchoyo unaonekana mshamba! Basi sawa acha wajanja wa kugawa watuzidi kete kina siye😅
We subiri zawadi yako MjukuuBabu nasubiri zawadi yangu.
Halafu kuna bibi ananisumbua kweli eti siku hizi umempotezea kibubu nimekuta…!! 😹😹
Babu nawe Punguza kuwapa pesa hovyo ukiwaacha wanalia wenzio 😹😹
Wee unacho kidogo wapi buanaa..!!Sasa kama ninacho kidogo kisichanike😂🏃🏽♀️ Muache mzee wangu huyu tutatia aibu acha nimtafutie limshangazi la late 40s hukoo
Mwanasheria wako ndio anitafute ss tuyajenge! Anitumie soft copy niisome taraatibu nikiwa na glass yangu ya wine pekeangu ☺️Saa ngapi nisimwelekeze Mwanasheria wangu au-draft
Na weekend ndiyo inaanza leo 🤗
Kuna watu wanahisi hii ni hadithi, kumbe ni mambo yanatokea kweli kwenye Jamii zetuKipindi hicho nilikuwa juu ya mawe naishi kibikira maria alinambia nyie zenu si mnatumia kukojolea acha sie tufanyie kazi yake tuishi tunavyotaka, saiv ananiita mchawi
Tutulie wote tutafikiwa na babu tukale mema ya nchi😂😹😹😹 Mmoja mmoja ndio mpango wote mtafikiwa na babu..!!
Kwani wanaelewa sasa babu, ukiwapa tahadhari wanakupuuza, (nilikuwa na mdogo wangu wa kuume anaenifata nilimpa tahadhari zote lakini alinipuuza, kilichofata tulimzika)Kuna comment umemjibu Seran
Imefanya nikupe vyeo, kama una Kaka zako najua utaweza kuwalinda
Mtu akishatafuniwa dawa, hata aombwe milioni 100 hata kama hana, ataenda kukopa ili ampatie
Kama Mwanaume hujatembea na kula Kula mizizi, lazima utekwe
Wala hatopandisha sukari ila ataona tabia zake kupitia wewe, ataishia kucheka tu life litasonga..!! 😹😹😹Kwenye kikao cha familia itakuwaje! Mzee wangu ana sukari lamo hebu mpumzishe🤣
You don't want peace 🙌Wee unacho kidogo wapi buanaa..!!
Sema ulikutana na heavyweight sufuria ikazibwa barabara 😹😹😹😹
Na kajiroga mwenyewe! Hebu dada apate ukweli wa mambo! Mkumbushe mambo yake ya zamani kujikuta pisi kali mtaa mzima anafkiri havina mwisho! Kagawa ute sasa umeisha anahaha watu wachawi😂😂 hakujua vina muda??Kipindi hicho nilikuwa juu ya mawe naishi kibikira maria alinambia nyie zenu si mnatumia kukojolea acha sie tufanyie kazi yake tuishi tunavyotaka, saiv ananiita mchawi
Bibi tulia basi huyo babu vitu vyako kabisa 😹😹😹We mjinga na babu yako wa kuchovya huyo lenu moja ndo maana joto kali
Wahanga ni wengi sana, na huyo hakuwa mbobezi ndo alikuwa kaanza anza tu wakati huo, je ni wangapi wametapeliwa hivyo?Kuna watu wanahisi hii ni hadithi, kumbe ni mambo yanatokea kweli kwenye Jamii zetu
Na probably wahanga wengine tunao humu humu 🙌
Kwahiyo nikuoneshe kilivyo tuache kubishana lamo😂Wee unacho kidogo wapi buanaa..!!
Sema ulikutana na heavyweight sufuria ikazibwa barabara 😹😹😹😹
Kwani anaona hilo sasa? 😀😀anatafuta pa kuangushia lawama zake tuNa kajiroga mwenyewe! Hebu dada apate ukweli wa mambo! Mkumbushe mambo yake ya zamani kujikuta pisi kali mtaa mzima anafkiri havina mwisho! Kagawa ute sasa umeisha anahaha watu wachawi😂😂 hakujua vina muda??
Karma is bitch👌🏽
Nitakuwa nimemrithi sio siri, kwa bahati mbaya hatutaendelea na uhaini wetu😂Wala hatopandisha sukari ila ataona tabia zake kupitia wewe, ataishia kucheka tu life litasonga..!! 😹😹😹
Mimi somo nimelielewa, japo in a very hardway.Kwani wanaelewa sasa babu, ukiwapa tahadhari wanakupuuza, (nilikuwa na mdogo wangu wa kuume anaenifata nilimpa tahadhari zote lakini alinipuuza, kilichofata tulimzika)
Umefanya vizuri kuuleta uzi labda wajukuu zako watakusikia, vita ni kali mno wanaume wanateketea familia zinaparaganyika
Woyooooooooo 🤸♀️🤸♀️Hahaha.........hili likitiki, jiandae kupokea mshahara wa miezi 3 kwa pamoja
Itakuwa ni bonge moja la deal
Hata Wazee tunapenda mali safi 🤭