My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Duh huyo ni psycho aisee! Pedophile, takataka mbwa kabisa!๐Ÿ˜ก
Kwa akili za kawaida huwezi kufanya hayo

Hata kama umebanwa na haja kiasi gani, bora uagize online ama upige nyeto kama Mzee mwenzangu Mbaga Jr anavyosemaga

Hata hivyo njaa ya siku moja isikufanye ujute maisha
 
Kwakweli! Hawaangaliagi mbele hawa wadangaji wapumbavu! Kama alikuwa anaomba ela na anapewa so far utakuta aliishia kuvaa mawigi ya million na kupanda ndege kuwaringishia machangu wenzie๐Ÿ˜…
Alikuwa anapambania iphone macho matatu kipindi hicho ili awakomeshee watesi,

Sasa jiulize chuoni malecture walipiga, aliyempa hela ya wigi alipiga, aliyempeleka guest aligonga, ......mlolongo ni huo maana mpaka mtu anafikia hatua ya kutumia dawa ili kunasa pesa za mwanaume masna yake kashafanya mbinu zote za kike kupata pesa kutoka kwa mwanaume na zote zimefeli au kapata kidogo,
 
Kwa akili za kawaida huwezi kufanya hayo

Hata kama umebanwa na haja kiasi gani, bora uagize online ama upige nyeto kama Mzee mwenzangu Mbaga Jr anavyosemaga

Hata hivyo njaa ya siku moja isikufanye ujute maisha
Ela zikiwazidia wanaume pia huwa wanatabia ya kujaribu jaribu mambo matokeo yake mtu anatia wanyama, wanume wenzie na hata watoto! Huo ni unajisi๐Ÿ˜จ
 
Na hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yote

Hakuna kukosa goli, akija mguu wa kulia unacheza, ukienda kushoto unacheza ๐Ÿคช
 
Ela zikiwazidia wanaume pia huwa wanatabia ya kujaribu jaribu mambo matokeo yake mtu anatia wanyama, wanume wenzie na hata watoto! Huo ni unajisi๐Ÿ˜จ
Kwa umri huu nilionao, nahisi hadi naingia kaburini siwezi kufanya hayo

Bahati nzuri situpii vyombo
 
Hivi hiyo macho ma3 huwa inawasaidia nini hawa stupid buddies๐Ÿ˜‚
Yani chuo kuna dada aliuliwa kisa hayo mambo ya macho matatu! Ilikuwa ndio imeingia, sasa kale kamtindo unatoa macho mawili unapewa matatu! So stupid species we have lolz ๐Ÿ˜†
 
Mlipewa mzigo ndo huo mkiutumia vibaya inawaumbua, tumepitia maisha magumu kisa mzee alishindwa kudhibiti kikojoleo chake na hiyo ni hadithi ya watu wengi sana
 
Hela inafuatwa Mjukuu

Take a time, si unajua Wazee ni wepesi kuridhika
Hicho ndicho nachowapendea๐Ÿค— sio hawa vijana njaa kali @ ngumu๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Ujageuka usawa huu imo๐Ÿ˜‚ unatoka hapo miguu haisimami akhaa cha kufia nini!๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Kuua kisa kusingiziwa mtoto hapana, kuna mstari nilisha jiwekea siwezi kuvuka.

Nahakikisha I drain pennies zote nilizo weka kwako and move on. Hiyo ni sweet revenge.
Inategemea na reaction ya wakati huo wakati unabaini hayo


Japo Mimi pia nilifanya hayo unayosema

Kama una biashara ulimfungulia, naweza kumpelekea hadi TRA hadi hela zangu zirudi
 
Na hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yote

Hakuna kukosa goli, akija mguu wa kulia unacheza, ukienda kushoto unacheza ๐Ÿคช
Nawe babu unatumia hivyo vitu๐Ÿ˜‚
 
Na hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yote

Hakuna kukosa goli, akija mguu wa kulia unacheza, ukienda kushoto unacheza ๐Ÿคช
Anayeroga ili apate macho matatu hata huko kashafumuliwa, bado hapo alimaliza chuo kwenye kutafuta kazi huko je??? Balaa zito

Anaekula bila wasiwasi ni mganga peke yake, so men mnashare madudu na waganga wale waojitangaza kutoa majini kwenye nguzo za umeme๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwa umri huu nilionao, nahisi hadi naingia kaburini siwezi kufanya hayo

Bahati nzuri situpii vyombo
Hilo nalo ni tatizo usipotupia haya mambo akili yote inabaki kwenye kuwaza nyuchiz tu
 
Mlipewa mzigo ndo huo mkiutumia vibaya inawaumbua, tumepitia maisha magumu kisa mzee alishindwa kudhibiti kikojoleo chake na hiyo ni hadithi ya watu wengi sana
Of course, matokeo ya kufanya hayo ni kutesa familia

Kuna jamaa hadi watoto walirudishwa shule za private hadi kayumba kisa jamaa ametekwa upande wa pili
 
Hiyo ndo akili yetu wanawake fupi kama mkia wa mbuzi
 
Mganga anawaambia mizimu inataka kukuonja kupitia mimi ndipo upate hitaji lako! Mwezi mzima unalala kwa mganga anakuogesha makaburini ni kuliwa tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ