My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Ndio maisha ya wanawake wengi mjini
Unakuta amewapanga Wanaume 7 tukiwemo na sisi Wazee

Unashangaa Binti baada ya round moja anaenda kuvaa, anasema mbona Mzee Juma anafanyaga kimoja tu

Usije ukamfia bure 😅🙌
 
Sasa wenzio washavuka level za wakamiaji kutuma pesa kwenye simu. Unatakiwa kulevel up msichana…!!
Wazee wanatumia cheque, nenda unapewa cheque yako ndio unachezea rungu la kipepe..!! Weeh veepee buaanaa..!! 😹😹😹
Kwenye cm kwanini wasitume!! na acc za benki si zipo🤣 hebu hukoo! Wazungu wenyew wanatuma kwa simu na wako mbali wao ndio kina nani mfyuuu!
 
Utafute bi mdogo ili umfirauni😱

Tulia na mzee mwenzio uku nje mambo ni hot hot!!, kurogwa ni pie😅
Hujaona hapo juu Kuna mambo ya kufinyiwa kwa ndani

Hata kama nitafia kwenye kinena sio mbaya, mbona Nzi anafia kwenye kidonda 🤭
 
Umepitia mengi sana mahi pole 🪑
Tea or coffee pls? 😹😹
 
Tatizo lake seran anajua nyie ni wale wanaume zake wanaoshinda wanabet bila kula 😹😹😹

Hajui nyie level za kina Lugumi.
Huyu mtoto anachezea fuko la pesa shauri zake..!!
Uweeh😂 wanaume zangu tayari umeshawajua! Basi jf haina siri za watu aisee🤣🤣💔💔
 
Unakuta amewapanga Wanaume 7 tukiwemo na sisi Wazee

Unashangaa Binti baada ya round moja anaenda kuvaa, anasema mbona Mzee Juma anafanyaga kimoja tu

Usije ukamfia bure 😅🙌
Watu wanaishi kwa vipindi mzee😂
 
Wazee hatuna mambo mengi

Mkishika maiki na kuanza kuimba, ndiyo mnatumaliza zaidi 🤭
 
Ndiyo maisha ya mjini yalivyo

Unakuta binti hana kazi, isipokuwa hiyo inayomweka mjini
Sasa kwanini anazaa kama hana kazi? Unazaa watoto uje kutia huruma na dunia haina huruma😅
 
Ukifinyiwa unaanza toa udelele😂😂
Saa ngapi nisikukabidhi password ya Benki

Kama dawa zangu za Presha zitakuwa mbali, utaniua kwa hizo raha 😅
 
Awamu hii tunakuzika we jichanganye tu
😅 Nipo tayari kufia eneo la tukio kuliko kupitwa na hizo raha

Presha ikinipanda katikati ya tukio, unajua Cha kufanya. Ni kunipa dawa zangu tu 🤪
 
Si ndio!!
Ukizingatia mimi ndio mwenye hizo kadi tano, nachukua somo ni correct mistakes za mwanzo zisijirudie kwa next victim🤗
uliwekaje kadi tano kwenye bahasha moja mkuu? moja weka kabatini, nyingine uvunguni, nyingine ndani ya wigi .... hukuwa serious kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…