My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana



CHAI.
MWAKA GANI HUO AMBAO SIMU ZILIKUWA HAZINA BLOCKING ILA ZINA WHATSAPP? UONGO WAKO WA KIJINGA OPTION YA KU BLOCK NUMBERS IPO TOKA MIAKA YA 2000s wewe unasema haikuwepo. Ila miezi mitatu ukaenda nje ukawa una Whatsapp. Unaona wote makebo kama wewe?
 
Ningekuwa nataka kutaja exactly ni lini tukio limetokea nisingesema ni tukio la mwaka 47

Nimeandika hivyo kwa lengo maalumu

Hata hivyo nimechagua kufikisha ujumbe kuhusu uwepo wa matukio ya hivyo, kama umechagua kuona chai katikati ya maelezo yangu badala ya Ujumbe

Basi tafuta maandazi ya Barhresa ukanywe hiyo chai
 

Chai ya Mwarobaini na alovera ambayo haijamenywa maganda.
 
Ni rahisi sana kuchambua tukio lililotokea na kuona makosa lakini ungekutana na situation kama hiyo si ajabu na wewe ungefanya makosa ya kijinga zaidi ya hayo.
Umesema sahihi Mkuu, na inawezekana muda huu kuna mwenzetu mwingine anapitia hayo niliyopitia.

Na usipokuwa na busara, maiti ya Mama na Mtoto inaweza kuokotwa
 
Namimi na kisa kama hiki natafuta njia ya DNA
Kama unataka kufanya DNA, chukua sampuli za mtoto iwe nywele ama hata jasho la nguo zake then nenda ukapime nje ya Nchi

Kama utapima Tanzania, huwezi kupata matokeo sahihi
 
whatsapp imeanza mwaka gani
Kwa Tanzania ilianza miaka ya 2009 kuelekea 2010

Japo sikutaka kusema ni tukio la mwaka gani exactly ili kuficha baadhi ya taarifa

Ndiyo maana nikasema tukio la mwaka 47 😎
 
Kwa Tanzania ilianza miaka ya 2009 kuelekea 2010

Japo sikutaka kusema ni tukio la mwaka gani exactly ili kuficha baadhi ya taarifa

Ndiyo maana nikasema tukio la mwaka 47 😎
nimekupata vyema mkuu wala haina tabu, uzi lazima uwe na wadhamini
 
Pole sana mkuu..... wanaume tunapitia mengi sana... !
Na kujitoa kwenye huu mtego sio rahisi

Unaweza kuhudumia mtoto ukasema ni wako, kumbe Kuna Mwanaume mwenzio sehemu naye anamuhudumia mtoto huyo huyo huku akijua ni wake pia

Kwasasa hayo matukio yamekuwa mengi sana

Japo changamoto kubwa naiona kwa Wizara ya afya kushindwa kuweka mifumo sahihi ya kudhibiti Kadi za Kliniki za Mtoto

Mtoto mmoja anakuwa na Kadi 5 za Kiliniki zikiwa na majina tofauti za Mtoto na Baba anayehudumia
 
Ndio ukajibu maswali ya mwaka 47 hukooπŸ˜‚πŸƒπŸ½β€β™€οΈ
Maswali magumu kweli kweli, nahisi kwa kuwa nimezeeka nimeanza kupoteza kumbukumbu za hayo matukio ya mwaka 47 πŸ€ͺ
 
nimekupata vyema mkuu wala haina tabu, uzi lazima uwe na wadhamini
Vijana wana maswali mengi hadi Babu yao napoteza appetite ya kujibu πŸ™Œ

Hata hivyo nitakomaa nayo, muhimu mwaka 47 nilikwepo πŸ€—
 
Maswali magumu kweli kweli, nahisi kwa kuwa nimezeeka nimeanza kupoteza kumbukumbu za hayo matukio ya mwaka 47 πŸ€ͺ
Leo kumbukumbu zitarudi kwa jinsi ulivyobananishwa hukoπŸ˜‚

Mi nashukuru tu umenipa mbinu nawaza nianzie wapi sasa😎
 
Leo kumbukumbu zitarudi kwa jinsi ulivyobananishwa hukoπŸ˜‚

Mi nashukuru tu umenipa mbinu nawaza nianzie wapi sasa😎
Kweli Vijana hawataki amani kabisa na Wazee πŸ™Œ

Binafsi sikushauri ufanye hayo, Ukikutana na Mwanaume mwingine anaweza kuwaua wewe na mtoto ili kufidia hasara za malezi alizotoa kwako

Mimi ilibaki kidogo tu niwape Vijana kazi ya kwenda kusafisha
 
The only shimo a man will enter akiwa one man army ni kaburi tu mengine lazima we share. Sijui mmenielewa?
Kuchapiwa ni siri ya ndani, lakini sio uingie gharama za kutunza Mama na Mtoto ili hali sio damu yako
 
Hebu acha basi kwahiyo babu msaliti na mtoa mimba ndo malaika,, hapo walikutana shetani na shetani mwenzie ndo hivyo kazeeka saiv ni malaika
Mahi hatukatai babu msaliti ila mwanamke mwenzetu kazidi bhana. Wanaume watano?? Na unaweza kukuta wote sio baba wa huyo mtoto..!!

Babu moto anawapelekea si jogoo la shamba hilo 😹😹😹
Humu kwenyewe kazifumua za kutoshaaa πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Ogopa mwanamke mshirikina, huyu huenda alikuwa muongo, malaya na mshirikina.
Mzee mwenzangu, kweli Uzee dawa, mengi sijayaandika ili kuendelea kuhifadhi privacy tu..

Ila ukiingia pale suala la kuwekwa kwenye chupa ni dakika 0 tu

Na kutoka huko ni hadi Yesu arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…