Kuna wakati tunatoa hizo pesa kwa mapenzi tu, lakini ajabu yake zinatumika kututesaKwani wanakoma sasa, inataka roho wa Mungu kukataa pesa za wanaume hasa wanaojitolea wenyewe kuzitoa
Yaani nilisema namkataa shetani na kazi zake zote, ila naona dalili ya kurudi nilipotoka😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Grahams babu bibi ananitukana..!! 😥
Sasa babu twende halafu tukifika unitume ugolo ili niwaache wenyewe umuonyeshe kilichomtoa kanga manyoya..!! 😹😹😹😹
Kuwa na huruma na Wazee, hivi nipigwe kote si nitachanganyikiwa Babu yenu 🙌Kanikera pale kutaka atoe mimba na kufikiria kuwapoteza😅😅,, tena ingekuwa vizuri hilo tukio apigwe kotekote kwa mcheps na kwa wife nako angekuta na kadi 4😆😆😆
Hahaha............Kila mtu ana kiwango Cha uvumilivuBabu mi wazee nitakaotafuta hawana uwezo wa kuua kama wako😂
Babu umeniogopesha sana na sipiti tena kukusalimia kumbe we muuaji🏃🏽♀️💔
Hii sio ya kukosa ni wewe na golikipa, kazi kwako..!!Yaani nilisema namkataa shetani na kazi zake zote, ila naona dalili ya kurudi nilipotoka
Hii pasi sio ya kukosa kufunga hii 😅
Shimo na utafutaji ni anguko la wanaume wengi sana tena bora uanguke kwenye dili la utafutaji kuliko kuanguka sababu ya uqeKuna wakati tunatoa hizo pesa kwa mapenzi tu, lakini ajabu yake zinatumika kututesa
Na usipokuwa makini, unaweza kupoteza vyote ulivyonavyo
Ulifanya vizuri kukataa, bila hivyo ungekuwa unajiandaa kutoa milioni 3 kwa mwaka ili mtoto asome English Medium schoolsPia mm ni mhanga wa hio scenario, ila niligoma kulea mimba, nikaahidi akizaliwa kama ni wangu nitalea ... mwisho wa siku nilipigwa za uso, mtoto sio wangu.. now ana Anaelekea miaka mitano .. mama yake ni singo maza anapambana tu huko ... mara moja moja anaweza kupiga simu anaomba hata buku 5.... sometimes nampaga, mda mwingine hata text zake sijibu ....
Kabisa Mjukuu, na ukiwa mtumwa wa hizo kei utashindwa kusonga mbele kabisaShimo na utafutaji ni anguko la wanaume wengi sana tena bora uanguke kwenye dili la utafutaji kuliko kuanguka sababu ya uqe
Unajua kupasia Mjukuu, kwenye hili nipo tayari kwa maandaliziHii sio ya kukosa ni wewe na golikipa, kazi kwako..!!
Mechi ipigwe weekend nzima, mimi nitarudi jpili jioni kukuletea nguo na viatu vya kazini ili jtatu kwenye kikao cha bodi usiende mchafu..!! 😹😹😹🏃♀️➡️
Nimezeeka sasa😋Acha uoga wewe kula nyama ingali meno ipo
50 something, Lakini babu inaonesha umeyaishi maisha invyotakiwa hasa kwenye sekta ya kula papa na nguru.Nimebakiza miaka michache kufikia 6th floor
Ni kweli kwenye makosa yanayo-tugharimu Wanaume ni pamoja na hizo kavuKwa nini hukuwa unatumia 'dume', angekusingizia kwa jeuri ipi?
Ila nisikuhoji sana, sisi wahamasishaji tunajijua tulivyo walafi na wapenda kavu.
Kwenye tukio unakuwa kama mbwa aliyeliona chatu, anajinasisha mwenyewe potelea kwa mbali huku akijua kabisa dhahama gani itayomtokea punde tu.
Kwa hiyo mkuu ukawa unagonga tu kavu kavu kidume cha mbegu!
Endelea sasa tuone hatima yenu.
Mimi nahisi hiki kijamaa ni kiajuza around 50, lakini kilikuwa active sana kwenye ujana wake.Hata 55 hana huyo, atakuwa 45-50 hapo huu uzee anazuga ni aina mpya ya kukwepa kushobokewa au kujiongezea CV sometimes yes wanawake tunapenda wanaume wakubwa age goo tukiamini wamejipata na hawana mauzauza kama mabarobaro wa 40 kushuka chini,
Mkuu, yalikuwa mambo ya ujana tu50 something, Lakini babu inaonesha umeyaishi maisha invyotakiwa hasa kwenye sekta ya kula papa na nguru.