Acha hizo, fanya maamuzi mbona unaogopa kutumia maamuzi magumu, kuna mwanamke nilimpenda asikuambi mtu ila baada sintofahamu tukaachana, imebaki story mzee, yeye ndiyo ananitafuta kila siku nasitaki hata kumla, kwa kuwa namheshimu nilienae sahivi maisha ni lazima yasongeAlcohol imeshindwa mzee sana sana imenileta vitabia vingine vya ajabu ajabu.Wishful thinking
Wacha hizo mambo mkuu, wanawake hawako fair kabisa hv ushawahi jiuliza kwnn alitoka kwako? Ni kwasababu hukuwa unaishi naye vile yeye anataka, ss jamaa ndio anaishi naye vile anataka yn kipigo, manyanyaso, ugomvi na dharau hvyo ndvyo wanataka wanawake wengi hasa wa uswazi.Mkuu najua,ila unajua tangu nipewe taarifa najaribu kuignore ila kama linazidi kusogea mbele zaidi.Natamani kupotezea ila ndo kama linazidi kuzama na kuniumiza
AbeeeNapata taabu sana jinsi unavyoteseka kwenye ndoa yako,nataka nije kukukomboa
Haya mambo ni yanaumiza sn aisee, ila ukijiendekeza ndo inazd kukuumiza, inaonesha kabla hata ya kusikia anateseka ulikuwa unamuwaza sn, ss hii inaonesha una mapenzi ya dhati kabisa kwa huyo mwanamama ila tatizo hawa wanawake hawako fair, uckute huyo unayeishi naye ww humpendi na anajua ila anakuvumilia, lkn ingelikuwa yeye hakupendi ww basi pasingelikalika hapo.Nautuaje Mkuu?
Hapana co mjinga ni yanatokea, yapo na hayatoisha kutokea.itoshe kusema wewe ni mjinga wewe
Mkuu si kweli kwamba nafikir naweza kumsaidia.Ila najikuta inakuwa kama vile inanihusu,yaani inanitoa katika normal mood yngu kila mara nikikumbuka.Kama imewahi kukutokea unajaribu kuficha sir then unaona kama vile inakaribia kujulikana basi it feels worse than that.Wapo baadhi ya watu ambao fikra zao hudhani kwamba wanao uwezo wa kutatua kila tatizo likatizalo mbele yao, haiwezekani hata kidogo
Hapana co mjinga ni yanatokea, yapo na hayatoisha kutokea.
Mwanzoni nilimchukulia hvyo ulivyomchukulia ww but kuna kitu nmegundua baada ya kusoma replies zake jamaa anaumia sana and I can feel his pain.
[emoji23][emoji2969][emoji23]Hayo mambo hayakuhusu unajipa mizigo mwenyewe usikute hata yeye hakuwazi
Anayekuhusu Ni mwanao huyo ndio ndugu yako wa damu
Acha kimbelembele[emoji15]
Kuna mwanamke anapenda kupigwa?Wacha hizo mambo mkuu, wanawake hawako fair kabisa hv ushawahi jiuliza kwnn alitoka kwako? Ni kwasababu hukuwa unaishi naye vile yeye anataka, ss jamaa ndio anaishi naye vile anataka yn kipigo, manyanyaso, ugomvi na dharau hvyo ndvyo wanataka wanawake wengi hasa wa uswazi.
Usijiumize moyo nigga jali yako muache mpuuzi huyo mpk anyooke.
Mkuu inaonekana una uchungu nao...!Wacha hizo mambo mkuu, wanawake hawako fair kabisa hv ushawahi jiuliza kwnn alitoka kwako? Ni kwasababu hukuwa unaishi naye vile yeye anataka, ss jamaa ndio anaishi naye vile anataka yn kipigo, manyanyaso, ugomvi na dharau hvyo ndvyo wanataka wanawake wengi hasa wa uswazi.
Usijiumize moyo nigga jali yako muache mpuuzi huyo mpk anyooke.