My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Achana na ndoa za watu, hebu hayo mapenzi yanayokusumbua juu yake yahamishie kwa mwanao na kwa mpenzi wako.
 
Eti anateseka lakini hataki kutoka kwenye hayo mahusiano sababu anajutia aliyoyafanya nyuma,acha kujidanganya wewe,ukute jamaa anamkaza vizuri mpaka dem anapagawa hataki kumuacha.

Achana na mapenzi ya watu fanya yako.
 
Inakuaje jambo lisilokuhusu lifikie kukusononesha na hadi kuharibu mambo yako? Kumbuka huyo mrembo alikusaliti na juhudi za watu wengine kuwasaidia ili mrudiane alizikataa. Kama unaweza mchukue mwanao kisha ushike 50 zako badala ya kugeuka nyuma utageuka JIWE bure. Yaliyopita si ndwele........

 
Kama unaona kuna njia sahihi unayoweza kumfanya asiteseke msaidie mapema kabla ya kufika stage ambayo ukajuta why ukumsaidia na wakat ulikua na uwezo wa kumsaidia ........
 
Watu wengine mmeumbwa kuwa wapumbavu,nakushauri ukamchukue uishi nae kadri [SUP] [/SUP]upumbafu wako
 
You may be right.But why do I feel obligated.Is it because she left for another man?How can I get over that?It is not about me being perfect it is about her info affecting me and how to deal with that.
Inaonekana mwenzako alishamove on lakini wewe bado huja move on...Kumbuka yote aliyokufanyia na maumivu aliyokusababishia,then muangalie yule ulienae kwasasa,angalia upendo alionao kwako then move on mazima.
 

Kabla ya kutoa ushauri umesema
Mahusiano yalishindikana AKAPELEKA WATOTO KWA BIBI YAKE na ALIKUNYIMA ACCESS YA WATOTO ILA UKAWA UNAPATA TAARIFA KWA MDOGO WAKE, unapafamu kwa huyo bibi?
Watoto wana umri gani?
Ulifanya taratibu gani kupata access ya watoto hadi useme alikunyima?
Pamoja na yeye kuolewa na watoto kuwa kwa bibi yake UNAWAPATIA WATOTO MAHITAJI YAO?
 
Huna kazi za kufanya?
Sure kabisa huyu jamaa Hana lolote la maana mpaka aanze kuwaza maisha ya watu wengine asio hata na uhusiano wa kidamu

Wwala wao hawamfikiri anajitwika mizigo isiyo muhusu
 
Sijaelewa mantiki ya swali,
Nashindwa kukujibu
Hebu fafanua zaidi.
Hakuna mwanamke anayependa kupigwa, the same way as hakuna mtu anayependa uchafu ila matendo yako yatafanya watu wakuone unapenda uchafu, hupendi kufua, huogi, hupigi mswaki n.k unadhani watu watasemaje km co kukuona unapenda uchafu?
 
Hakuna mwanamke anayependa kupigwa, the same way as hakuna mtu anayependa uchafu ila matendo yako yatafanya watu wakuone unapenda uchafu, hupendi kufua, huogi, hupigi mswaki n.k unadhani watu watasemaje km co kukuona unapenda uchafu?
[emoji2]sawa mkuu
 
Dear OP. You are a really great man.
Kuachana na mtu, au mtu kukuacha hapafanyi muwe maadui. Hauna tatizo lolote, kwa binadamu wa kawaida kabisa hawezi kufurahia matatizo ya ex wake kwa sababu tu mliachana.

Unfortunately, "sidhani" kama kuna kitu unachoweza kufanya zaidi ya kuendelea kumuombea mpaka atakapogundua kwamba she deserves better.
I am sorry, that sounds tough.
 
Kama umeshapata pesa endelea kuwekeza zaidi ili huyo uliyenaye kwa sasa asikukimbie siku zikiisha lakini kubwa zaidi endelea kunawa kwa sabuni bila kusahau maji tiririka.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Kwa nini asiende tu kumkomboa huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…