Mwaka wa nne sasa.Hiyo namba umekuwa nayo kwa muda gani?
Haiwezekani kuwa mtu aliyekuwa na namba hiyo aliwahi kuchukua mkopo kwao?
Na mimi nimepata hiyo sms. Sijui kwa kweli maana huwa napuuzaView attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Kila kitu kina umuhimu wake mradi kifanywe kwa kiasi.Badala uwanunulie watoto vitabu wajisomee unawapa kila mtu TV yake kuna taifa la kijinga sana linakuja huko mbele kama hatua stahiki zisipo chukuliwa kuna dogo nyumbani ilikuwa anapenda katuni mama yake ana mdekeza ilikuwa nikija namuuliza swali la shule akishindwa anaenda ndani kujisomea siku imeisha nikimkuta kwenye TV ni halali yangu labda niwe sipo nyumbani.
Sijafikia uwezo huo. Tv moja inatosha. Au mbili moja chumbaniUkiamua unafunga tu macho unavunja kibubu unanunua tu
Wakikudhalilisha niite niwapige daflao.Mwaka wa nne sasa.
Sijui kwa kweli.
Labda hilo nalo linawezekana.
Tatizo ikitokea wamenidhalilisha hlf wakajua wamekosea haitakua rahisi kwangu kujisafisha
Hata mimi sijawahi kuchukua mkopo wowote wa mtandaoni wala kausha damu, ila huwa nashangaa wananitumia hizo msg. Sijui namba zetu wanatoa wapi🙆♀️🙆♀️🙆♀️View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Kabisa.Basi labda wanashirikiana na makampuni ya simu
Mitandao ya simu Tanzania hailindi faragha za watumiaji.Hata mimi sijawahi kuchukua mkopo wowote wa mtandaoni wala kausha damu, ila huwa nashangaa wananitumia hizo msg. Sijui namba zetu wanatoa wapi🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Itakuwa ni kama wale matapeli wa "ile hela tuma kwenye namba hii....."
Hata usijihangaishe nao ni utapeli kama ulivyomwingine tunaokabiliana nao kila mara .View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Sawa mkuu nimekuelewa🙏🏼Hata usijihangaishe nao ni utapeli kama ulivyomwingine tunaokabiliana nao kila mara .
Hamna maelezo ya kutosha jinsi namba zetu zinvyopatikana kwao, muhimu tu usiwajibu wala kuoa ushirikiano wowote hata kwa namba ngeni au ya unaye mfahamu linapo kuja swala la hela.
Wewe una uwezo wa kununua tv nyingi kama njugu hii mikopo ya kizushi haikufaiMwenzio nimeogopa na hivi nasikia wanazalilisha
Jamanii Nimependa Hii😂😂hawa Watoto I'm Sure hawasomi Sent Kayumba wanajua kujisimamia hivyo Hongera👏👏Teenager mbali sana kaka, kwanza vina tambua haki zao na ipeo mkubwa sana wa mambo.
Mfano vijamaa vyangu vinapenda sana vipikiwe chips, Sasa tukakubaliana kwamba, wakila chips mchana, usiku wale chakula kingine.
Siku hiyo taarifa inatolewa, vinasema but that is not fair, how can you make a decision for us? You should have called a meeting...wakati huo vitoto hata miaka 10 havijafikisha.
Kweli kabisa, wanachojali ni maslahi yao tu.Mitandao ya simu Tanzania hailindi faragha za watumiaji.
View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Wanasoma hizi hizi kayumba zetu zilizochangamka kidogo.Jamanii Nimependa Hii😂😂hawa Watoto I'm Sure hawasomi Sent Kayumba wanajua kujisimamia hivyo Hongera👏👏
😂Yani mpaka leo ipo chumba cha wageni huwa naiangalia nasema "Wewe Mkorea una roho ngumu sana" 😂😂😂