My week end is super crazy

My week end is super crazy

Hiyo namba umekuwa nayo kwa muda gani?

Haiwezekani kuwa mtu aliyekuwa na namba hiyo aliwahi kuchukua mkopo kwao?
Mwaka wa nne sasa.

Sijui kwa kweli.
Labda hilo nalo linawezekana.
Tatizo ikitokea wamenidhalilisha hlf wakajua wamekosea haitakua rahisi kwangu kujisafisha
 
View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏

Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️

Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?

Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?

Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Na mimi nimepata hiyo sms. Sijui kwa kweli maana huwa napuuza
 
Badala uwanunulie watoto vitabu wajisomee unawapa kila mtu TV yake kuna taifa la kijinga sana linakuja huko mbele kama hatua stahiki zisipo chukuliwa kuna dogo nyumbani ilikuwa anapenda katuni mama yake ana mdekeza ilikuwa nikija namuuliza swali la shule akishindwa anaenda ndani kujisomea siku imeisha nikimkuta kwenye TV ni halali yangu labda niwe sipo nyumbani.
Kila kitu kina umuhimu wake mradi kifanywe kwa kiasi.
Kufosi mtoto asome kila saa ni kumuharibu ubongo na utaishia kufanya achukie masomo.

Entertainment na michezo ni muhimu kwa watoto
 
Mwaka wa nne sasa.

Sijui kwa kweli.
Labda hilo nalo linawezekana.
Tatizo ikitokea wamenidhalilisha hlf wakajua wamekosea haitakua rahisi kwangu kujisafisha
Wakikudhalilisha niite niwapige daflao.
 
View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏

Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️

Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?

Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?

Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Hata mimi sijawahi kuchukua mkopo wowote wa mtandaoni wala kausha damu, ila huwa nashangaa wananitumia hizo msg. Sijui namba zetu wanatoa wapi🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Itakuwa ni kama wale matapeli wa "ile hela tuma kwenye namba hii....."
 
Basi labda wanashirikiana na makampuni ya simu
 
Hata mimi sijawahi kuchukua mkopo wowote wa mtandaoni wala kausha damu, ila huwa nashangaa wananitumia hizo msg. Sijui namba zetu wanatoa wapi🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Itakuwa ni kama wale matapeli wa "ile hela tuma kwenye namba hii....."
Mitandao ya simu Tanzania hailindi faragha za watumiaji.
 
View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏

Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️

Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?

Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?

Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Hata usijihangaishe nao ni utapeli kama ulivyomwingine tunaokabiliana nao kila mara .
Hamna maelezo ya kutosha jinsi namba zetu zinvyopatikana kwao, muhimu tu usiwajibu wala kuoa ushirikiano wowote hata kwa namba ngeni au ya unaye mfahamu linapo kuja swala la hela.
 
Sawa mkuu nimekuelewa🙏🏼
Ila kusema ukweli tunakosewa sana ni hiyo basi tu
 
Teenager mbali sana kaka, kwanza vina tambua haki zao na ipeo mkubwa sana wa mambo.

Mfano vijamaa vyangu vinapenda sana vipikiwe chips, Sasa tukakubaliana kwamba, wakila chips mchana, usiku wale chakula kingine.

Siku hiyo taarifa inatolewa, vinasema but that is not fair, how can you make a decision for us? You should have called a meeting...wakati huo vitoto hata miaka 10 havijafikisha.
Jamanii Nimependa Hii😂😂hawa Watoto I'm Sure hawasomi Sent Kayumba wanajua kujisimamia hivyo Hongera👏👏
 
View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏

Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️

Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?

Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?

Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic

Tahadhari, ukiona sms yoyote ya kuhusu ushindi, mkopo au chochote usichokuelewa na umewekewa link, usibonyeze Wala kupiga hizo namba. Delete Kisha endelea na mambo yako.

Hadi naanza kuwaza kwenye haya maofisi tunapotembelea na kutakiwa kuandika namba za simu, huenda Kuna watu hua wanachukua zile taarifa Kwa kazi kama hizi.

Umekaa zako umetulia unatafakari mambo ya msingi, inaingia sms umeshinda 6,000,000/- kutoka sijui kampeni Gani, unaelekezwa namna ya kuipata, hapo ndio inakua chanzo Cha hitilafu.

Pole sana Kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Back
Top Bottom