Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
- Thread starter
- #201
Mwaka wa nne sasa.Hiyo namba umekuwa nayo kwa muda gani?
Haiwezekani kuwa mtu aliyekuwa na namba hiyo aliwahi kuchukua mkopo kwao?
Sijui kwa kweli.
Labda hilo nalo linawezekana.
Tatizo ikitokea wamenidhalilisha hlf wakajua wamekosea haitakua rahisi kwangu kujisafisha