Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Kwani lazima?
Ili usiulizwe kuhusu misimamo yako
Si unataka uhuru wa kiimani Mama?
Nimemtafuta Mungu kuliko wewe uliyeaminishwa kirahisi na ukaamini tu blindly.
Nimesoma vutabu vyote, nimesali dini na madhebu karibia yote nimetumia nguvu kubwa sana.
Nikaja kugundua nafukuzia upepo unaenda wapi.
too much of anything is harmful

Wl find you that verse
 
Mfano eti papa wa Roman Catholic anajiita God representative on Earth ,how stupid you have got to be to believe in shit like that ,hayo makanisa mengine yaliyobaki ndio hao wazee wa sadaka ,kukanyaga mafuta na takataka nyingine kule kwa wavaa kobaz nako vitimbwi haviishi ni kuvaa mabomu na kujilipua , kulazimisha upuuz wao kwa wengine . Crazy shit
 
Maisha yako kiroho..kama huoni faida mimi ni nani?

Umeanza kwa kumkana Mungu sasa muda si mrefu nafsi yako itapata cha kuamini na kuabudu...hold on tight ur almost there
Pia kwa mungu tuna pata vingi vyemaa
 
Hasty generalization

So then hamna Mungu sio😅
 
Reactions: Cyb
Ah wewe ni jasiri sana.
Ishu mimi hapa sio kwamba nawaogopa au nini, nachoogopa ni kwamba nikiwaambia hayo wanaweza kufa kwa presha au msononeko maana umri umeenda.
So nawafurahisha not for my good, but for their own good.

Hizo wiki 3 nlizoacha kabla beki 3 kuyatibua, ilikuwa ikifika j2 mama ananinunia siku nzima.
Na unaona kabisa hana furaha ni kama anakuwa na msongo wa mawazo kama mgonjwa.
So nikaamua nikubaliane naye tu kwa afya yake mwenyewe.
 
Maisha yako kiroho..kama huoni faida mimi ni nani?

Umeanza kwa kumkana Mungu sasa muda si mrefu nafsi yako itapata cha kuamini na kuabudu...hold on tight ur almost there
Na kuna tumain siku z mwish kuish na kufurai
 
Imani ipi na haushiriki msikiti wa kanisa
Ama mtafungua lenu nyumbani[emoji28]
Ngoja mzae wa kwenu afu tuwaone

Imani pia ni for social reasons,kushiriki na wengine
Imani sio lazima uende kanisan na msikitini. Hapanaaaa
 
Jenga hoja acha kumprove wrong, wew jamaa nakuonaga una akili kumbe bado sehemu ya akili zako imeegemea ktk dini.

Ni ngumu kutenganisha Utumwa na Dini za watu weupe, huwez kujiita umeelimika ilihali bado unaamini dini kuwa kigezo cha maisha ya mtu mweusi, acheni ujinga, someni sana, hivyo videgree vyenu mnavyosoma kwenye vyuo vyenu vya mabua kwa kutegemea boom la serikali ili mtoboe na kukalilishwa upumbavu, basi mkigraduate acheni kujiona wajuaji.

Humu kuna wasomi zaidi yenu ambao elimu wameipata nje ya uwezo wa level zenu za syllabus, so ukiona mtu anapinga jambo fulan, jitahidi kudadisi na sio kuhukumu,

Elimu ni pana, huwa nashangaa kumuona mbongo analingia Elimu hii mnayosoma huko majalalani

Dini zote ni uongo, Mungu wa dini hayupo, na hatowai kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…