Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Unajua kwann tunaenda kwenye dini
 

Ok. Asante.
 
😊😊 Uandishi wako umekaa kiume. Japo jina na emoji inafanya wengi tufikiri wewe ni wa kike. Nitakupa ushauri wa jumla jumla.
1.Mwambie Mama yako ukweli kuwa umekosa imani ili ajue anachokabiliana nacho.
2. Endelea kwenda kanisani kila hiyo jumapili, ukiona masaa yanakuwa mengi na umechoka ondoka, mama akiuliza mwambie unajaribu kujiweka sawa katika kupata mwamko wa kiimani awe mvumilivu kwa hilo.
3.☹️😓Nakuhurumia sana kinachoenda kukukuta, unaenda kujikuta mpweke na kuwa kama uliyekosa link(connection) na jamii endapo utaacha kabisa kuwa sehemu ya hizi imani duniani. Unless kama kuna imani mpya umeipata na unatarajia kuipa familia utakayoanzisha.
4. Nenda kanisani/msikitini utambulike kama sehemu ya jamii, sasa hivi raha za mapito hayo ya mama na baba yako ndio zinafanya uone kama rahisi. Kuna matukio kama kifo,ndoa na sherehe vinahitaji ushirika wako katika taasisi, watu wasipokutambua utapata shida kubwa kijamii na kisaikolojia. Suppose on your death, burial ceremony itabidi mama yako dhamana yake ikubebe, otherwise utadhalilisha familia. Marriage utamuoa/kuolewa na nani kirahisi, just a simple thing can make a man or woman arudi nyuma katika maamuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnoo wafia dini.
 
Nmesoma Sirat Rasul Allah ya Ibn Ishaq
Sunan Nassai
Al Tabari
Sahih Muslim
Muqqadimah
Ar-raheeq Al-Makhtum nk. Nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…