Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?


Huwezi weka philosophical au theological zako kwenye nyumba za watu. Ungekuwa mtu mzima na unaelimu kama usemayo usingeishi kwenu

Utu uzima sio umri pekee Bali ni majukumu pia.

Hata angekuwa anaabudu mashetani anamamlaka ya kukuambia uabudu hayo mashetani na ukafanya
 
Doh! Wewe ni so closeminded mpaka sina la kukujibu. Have a nice day
 
Kila la kheri, lakini toka kwa mama yako usipe sonona. Kapambane na shida au raha zako mwenyewe
 
Thanks for your judgement
 
Mkuu nakushauri uhame tu hapo home ukajitegemee ili uishi upendavyo. Kuna wenzio hawana hata mama wa kuwakumbusha kwenda kanisani,wewe unae unamfanyia dharau na bado ati unaenda kanisani na kuchat ibada nzima mkuu laana nyingine ni za kujitakia. Punguza dharau na ujuaji.

Jishushe,mpe thamani sahihi mzazi wako.
 
Nyie ndio mnaosapoti mpaka FGM
 
Hapana mkuu, ukiona mwanamke ana uwezo wa ku reason maswala ya kiimani huyo ni level nyingine. Nadhani jf nzima hawazidi 10.
 
Hapana mkuu, ukiona mwanamke ana uwezo wa ku reason maswala ya kiimani huyo ni level nyingine. Nadhani jf nzima hawazidi 10.
Mpe kichwa ndugu yako,
Kumcha Bwana ndio hekima
 
Kitendo cha kwenda ili anione ni thamani kubwa sana nmempa. Maana kiuhalisia sipendi hata kwenda hayo maeneo.

Na nachat kwasababu sioni cha kugain hapo kanisani, kila hubiri nlishasikia na hiyo biblia naijua kuliko wachungaji. Na hata nikisema niwaulize maswali hakuna atakayechomoka.

Na hizo laana unazosema mimi siziamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…