Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Mtoto ako akikwambia baba me sitak kwenda shule kwa sabb yote ni ukoloni na yametengezwa/yameletwa na binadamu utachukua uamuzi gani?
Akifika miaka 18+ hata akitaka kusomea uchawi ni yeye tu, mimi jukumu langu ni kihakikisha hapati shida ya chakula na mavazi mpaka atakapoweza kujitegemea.
 
Wewe unaona swala la kusali linatakiwa liwe shurti? Yani sheria?
Yani ulazimishwe kusali? Ulazimishwe kutoa sadaka? Ulazimishwe kusikiliza mahubiri?
Hata kama huyaamini?

Em weka hisia pembeni za uzazi na utii...fikiria philosophically au basi ukishindwa hata theologically imekaaje?
Swala sio shurti ila kwa kuwa upo kwenye mamlaka yake lazima utii ila ukiwa nje ya kwakwe uko free kufanya unavyojisikiw yeye anaweza kukushauri tu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ndio, kwa majina naitwa whiteskunk
Hilo swali lipo juu sana ya ufahamu wako. Nikuombe ujiweke sana mbali na yeyote anayekupa mawazo ya kwamba Mungu hayupo.
Utambue na kufahanu imani yeyote chanzo chake kusikia au kuelekezwa. Imani sio nadharia imani ni ufahamu halisi.

Tafuta sana kujijua wewe ni nani sivyo utateseka sana ndugu yangu
 
Unategemea kufunga ndoa ya aina gani? usije ukaanza kumsumbua mama akakuombee kwa viongozi wa kanisa
 
Ukienda Rumi ishi kama Warumi, siku ukiwa na kwako basi ishi kwa kanuni zako.
Familia zingine kila jmosi wote shambani
Okay, kuna nchi za dini kama Saudi Arabia.
Kule kupractise ukristo ni kosa la kufungwa jela.
Lakini hawalazimishi mtu kuwa muislam.
Kuna tofauti kati ya kukataza watu kupractise dini tofauti na uislam na kulazimisha watu wapractise uislam.

Ikitokea nchi ambayo inalazimisha raia wake wawe wa dini fulani, hiyo nchi itapigwa vita vikali.

Sheria zingine zote sawa, ila kulazimisha mtu kuamini jambo fulani tena la kidini...I think it is against even human rights.
 
Akifika miaka 18+ hata akitaka kusomea uchawi ni yeye tu, mimi jukumu langu ni kihakikisha hapati shida ya chakula na mavazi mpaka atakapoweza kujitegemea.
Basi ww unazumgumza tu. Hayo unayoyasema hapa unayasema kwa sabb ni hapa. Subili uwe mzazi kamili utaelewa nin maan ya kuitwa baba au mama.
 
Hilo swali lipo juu sana ya ufahamu wako. Nikuombe ujiweke sana mbali na yeyote anayekupa mawazo ya kwamba Mungu hayupo.
Utambue na kufahanu imani yeyote chanzo chake kusikia au kuelekezwa. Imani sio nadharia imani ni ufahamu halisi.

Tafuta sana kujijua wewe ni nani sivyo utateseka sana ndugu yangu
Ndo nakuambia tenga dakika 5 tu, toka nje angalia nyota, fikiria kwa makini ukiwa umefungua ubongo. Naamini utarudi kuwa atheist. Karibu sana.
 
Kapange ili ujipangie cha kufanya, unachopinga hapa wala hakina msingi. Dini ni majina tu ya kutofautisha kati ya zote zilizopo ila Imani ndiyo yampasa mtu kuwa nayo na kuendana na kile ambacho muumba katuhusia.
Sasa kila dini ina muumba wake, huku ni Allah asiyezaa wala kuzaliwa kule ni yesu aliyezaliwa huku ni Budha kule ni Krishna.
Na wote wanahusia vitu tofauti.
Huku anasema nguruwe usile, kule ni ruksa, Huku lazima ubatizwe kule lazima ushahadie.
 
Ni wewe au dini yako ndio inasema hayo?
Em ivue dini yako kwenye ubongo wako hata kwa sekunde 2 tu. Halafu uje tujadili hapa kisomi.

Siku ukiishi kwako ndio tutajadili kisomi.
Kwa sasa humu watu wote mpaka wajinga wanashangaa mtu mwenye Degree kuwa na upeo mdogo kiasi hiki.

Huo usomi unaojifanya nao utumie kujitegemea uondoke hapo nyumbani. Au ukishindwa utumie kuelewa kuwa hapo kwenu ni mamlaka kamili inayojiendesha Kwa taratibu na sheria za familia kulingana na utashi wa mama au Baba WA hiyo nyumba
 
Okay, kuna nchi za dini kama Saudi Arabia.
Kule kupractise ukristo ni kosa la kufungwa jela.
Lakini hawalazimishi mtu kuwa muislam.
Kuna tofauti kati ya kukataza watu kupractise dini tofauti na uislam na kulazimisha watu wapractise uislam.

Ikitokea nchi ambayo inalazimisha raia wake wawe wa dini fulani, hiyo nchi itapigwa vita vikali.

Sheria zingine zote sawa, ila kulazimisha mtu kuamini jambo fulani tena la kidini...I think it is against even human rights.
Unaishi chini ya paa lake, ama fuata mwongozo wake au kajitegemee hatokusumbua.
Yeye ukiishi chini yake anaona ni wajibu wake kukuongoza
 
Back
Top Bottom