Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Hapana mkuu, ukiona mwanamke ana uwezo wa ku reason maswala ya kiimani huyo ni level nyingine. Nadhani jf nzima hawazidi 10.
🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆🙆
Una miaka mingapi?!
 
Ukienda Rumi ishi kama Warumi, siku ukiwa na kwako basi ishi kwa kanuni zako.
Familia zingine kila jmosi wote shambani
 
Kua na Age 18+ au 18- Sio kigezo cha kua na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo.. Kuna wengine wana30+ lakini bado ni wa hovyo tu... Kua uyaone!!

NB: Kua makini sana na Unayosikia, Unayotizama na Unayosoma..
 
Tenga hata dakika 5 za kutafakari utalewa
Kwamba ninyi hamuamini katika Mungu sasa nitenge muda kwa ajili ya huko kutokuamini kwenu?
Nimekuuliza unanijua wewe ni nani?
 
Nyie ndio mnaosapoti mpaka FGM

Itakuwa ni maajabu endapo kweli unadegree.
Kama mambo madogo Kama haya yanakusumbua.

Sio Mama yako tuu hata Kaka au Dada ulikaa kwake bila mpango, ukawa unakula bure na kunya bure. Anauwezo wa kukutungia sheria na uzifuate.
Kam hautaki uondoke ukajitegemee.

Hicho kielemu chako cha kukariri kitakufanya hata ambao hawajasoma wakuone cherema/popoma/maji ya Dafu
 
Mkuu asante kwa ushauri. Nimesoma vitabu vingi sana vya dini ambavyo najua hata wengi wanaoniattack hapa hawajawahi hata kuvisikia.

Wewe unaamini nikivisoma hivyo vitabu lazima nitaamini Mungu, je una uhakika? Okay tuseme unao uhakika.
Je ni sahihi kumlazimisha mtu kusoma hivyo vitabu hata kama hapendi?
 
Sawa sasa kwanini haniachi?
Mtu mzima aliyezidi 18 ni wa kulazimisha dini kweli?
Kapange ili ujipangie cha kufanya, unachopinga hapa wala hakina msingi. Dini ni majina tu ya kutofautisha kati ya zote zilizopo ila Imani ndiyo yampasa mtu kuwa nayo na kuendana na kile ambacho muumba katuhusia.
 
Anakusukumia kanisani ukaokotane na wanaume uolewe.

Ameshakuona na hio miaka hujitambui hujielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…