g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 922
- 1,028
Acha ujuaji ndugu swala la kuamini au kutokuamini ni lako na ufanye maamuzi unayotaka kujiskia wewe ukiwa kwenye himaya yako sio kwenye himaya ya mtuWewe unaona swala la kusali linatakiwa liwe shurti? Yani sheria?
Yani ulazimishwe kusali? Ulazimishwe kutoa sadaka? Ulazimishwe kusikiliza mahubiri?
Hata kama huyaamini?
Em weka hisia pembeni za uzazi na utii...fikiria philosophically au basi ukishindwa hata theologically imekaaje?
Kama mzazi anaona ni sawa kukuelekeza kwenye njia anayoona kwake inafaa hata kama wewe unaona anakupotezea Muda wako
Ile hali ya kua unaishi kwake fuata maelekezo unayopewa tofauti na hapo tafuta kwako upangiane hizo ratiba na mumeo