A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Kaka ubora wa elimu utaupima kwa namna ambavyo huyo mhitimu anaweza kuitumia elimu yake kutatua changamoto za jamii yake ikiwa ni pamoja na kutengeneza ajira,Alafu mbona Kuna mkanganyiko hapa kwenye hii mada!. Hatuwezi kupima ubora wa elimu kwa kigezo cha ajira. Hapa tutakuwa tunajadili 'Hamna'. Msingi wa elimu unataka Nini?. Tatizo la ajira linasababishwa na nn?.
Hatuwez kupima ubora wa elimu iliyopo kwa kigezo cha ajira.
Sasa madrassa Kuna akili gani?Itakuwa wanawapeleka kusomea ujinga.
Ingieni madrassa mtie akili.
Hapana,Kwa hio unataka kusemaje? Wasomi wote wawe wachoma Chips?
Yes nimekuelwa sanaUmeelewa?
Watu kama ww JF wamebaki wachacheMimi sisemi vibaya wanaojiriwa na wala siwashushi heshima. Dunia ina watu wengi walioajiriwa. Hata mimi nimewahi kuajiriwa sehemu tofauti na industry tofauti.
Hoja yangu na yako ziko tofauti.
Kuhusu kuchafuka hii ni hoja nyepesi. Hata hapo panapochomwa chipsi ukienda mimi hunikuti.
Kama hoja ni kuwa mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kumiliki vibanda 10 vya chipsi.....mimi nafeli wapi? Yeye ana vimiliki vipi na anafanya kazi from 8-5?
Ana free time ya kufanya ukaguzi?
Mind you, uhakika wa ajira na kipato ni serikalini tu. Private nyingi sana hazina uhakika wa kazi. Mikataba ya mwaka hadi mwakana hakuna fringe benefit ya maana. Una mkataba wa mwaka, unakopa wapi mil 20?
Kuna bank moja hapa Tanzania mfanyakazi hawezi kukopa pesa zaidi ya mkopo wa gari, salary advance ambayo maximum ni 4 times your salary au mortgage.
Sasa niambie mil 20 unakopaje hapo kwa mshahara wa laki 7?
Ngoja nikupe kidogo kuhusu mimi:-
1. Nina duka la furniture nimeshare na bro tumeweka partnership kisheria kabisa
2. Mimi binafsi nina stationery
3. Nina banda la chipsi
4. Nna share 50% kwenye kikampuni kidogo cha microfinance.
3. Hapa nafikiria kuanzisha PRINTING SERVICES business nifanye printing ya nguo, embroidery, vikombe, bahasha, vitabu, large format printing etc. Ntaisajili kama kampuni.
Lakini msingi wa vyote hivi ni ajira zangu zilizopita.
Kama unamwandaa mtoto mwandae aje apambane katika sekta zote. Unaonaje ukawa na biashara na ukamwajiri mwanao humo?
Tusifikirie tu status, kupendeza, assurance ya kipato, kazi soft soft.....n.k
Uncertainty zipo kila mahali.
Profits are sweeter than salaries.
Sawa,akili zangu hazina akili. Ina maana kuchoma chipsi huko ndio wamependa? We mwenye akili zenye akili nieleze. Wamependa?? Wakati wanasoma wote si walijua watapata ajira? Haya, hizo ajira hawajapata. Wakae tu nyumbani?Wewe na wewe akili zako hazina akili, ulisoma Chuo uwe mchoma Chips si ungeacha kitambo uchome chips ukishindwa nini?
Hapa uko sahihi asilimia zote. Lakini pia kumbuka,idadi ya ajira zilizopo na idadi ya wahitimu.Tupunguze kuzaa ovyo ovyo umetaka watoto wengi kuliko uwezo wako kulea. Kwa ulicho andika hapa ulitakiwa uwe na watoto maximum wawili. Ukiwa na watoto wachache na ukawa nao karibu, ni asilimia ndogo sana watafeli maisha hapo baadae.
😂😂😂😂🙌Kama aliyesoma nje anauza chips basi wa Kayumba atakua Jambazi
Kwanza kabisa unapata kuielewa thamani ya utu wako. Ambayo kwengine popote nje ya madrassa hufundishwi hilo.Sasa madrassa Kuna akili gani?
Au unataka kila mtu awe sheikh ubwabwa?
Thamani gani hiyo iliyopo madrasa ila mifumo mingine ya elimu haifundishi?Kwanza kabisa unapata kuielewa thamani ya utu wako. Ambayo kwengine popote nje ya madrassa hufundishwi hilo.
Mkuu kuna kitu hamjamuelewa mtoa mada. Kwa kifupi anamuongelea yule mhitimu alietoka chuo akiwa hana chcohote mfukoni. Hizi mambo za kuuza chipsi, bodaboda n.k zinahitaji pesa mtaji wa chipsi kwa makadirio ya chini kabisa inaweza kuwa almost milioni 1, pikipiki mpya inagonga sio chini ya milion 2.5. Mhitimu atatoa wapi iyo pesa? Nadharia nyingi za watu hapa wanamuelezea mtu ambae tayari ana ajira sasa anataka kupanua kuongeza vyanzo vya mapato hapo muhusika atajibana mshahara wake atafungua biashara halafu ataapply usomi wake lakini anaemuongelea mtoa mada ni mhitimu ambae hana chochote zaidi ya certificates tu. Uko juu nimeona Sean Paul anaponda wasomi kwa kuchagua kazi yeye ana biashara ya chipsi ambayo anapiga hela zaidi ya msomi alieajiriwa at the same time anasema alishaajiriwa kama mtu wa sales akaacha akaingia kwenye kujiajiri unaona huyu alipata ajira kwanza akajichanga ndio akajiajiri hayupo katika kundi analoliongelea mleta mada.Hapana,
Nina maana ya kusema kuwa, nia ya usomi ni kupanua uwezo wa mtu kufikiri, kuongeza vitu vipya vyenye ufanisi.
Inawezekana kabisa msomi akaanzisha biashara ya chipsi kisomi, ikaongeza kitu kwenye soko la chipsi, chipsi zikawa na ladha bora zaidi, zikatumia viungo bora, zikapikwa katika mazingira mazuri, akatumia nishati rafiki kwa mazingira kupika, akafanya marketing ya kisasa na kisomi, watu wakapenda sana, akafanya biashara nzuri kabisa.
Biashara nyingi zinaweza kuboreshwa kwa usomi, tatizo la watu wengi ni kufikiri kwamba usomi maana yake ni kufanya kazi ofisini, au za aina fulani tu, na msomi hatakiwi kuuza chipsi.
Mkuu,Mkuu kuna kitu hamjamuelewa mtoa mada. Kwa kifupi anamuongelea yule mhitimu alietoka chuo akiwa hana chcohote mfukoni. Hizi mambo za kuuza chipsi, bodaboda n.k zinahitaji pesa mtaji wa chipsi kwa makadirio ya chini kabisa inaweza kuwa almost milioni 1, pikipiki mpya inagonga sio chini ya milion 2.5. Mhitimu atatoa wapi iyo pesa? Nadharia nyingi za watu hapa wanamuelezea mtu ambae tayari ana ajira sasa anataka kupanua kuongeza vyanzo vya mapato hapo muhusika atajibana mshahara wake atafungua biashara halafu ataapply usomi wake lakini anaemuongelea mtoa mada ni mhitimu ambae hana chochote zaidi ya certificates tu. Uko juu nimeona Sean Paul anaponda wasomi kwa kuchagua kazi yeye ana biashara ya chipsi ambayo anapiga hela zaidi ya msomi alieajiriwa at the same time anasema alishaajiriwa kama mtu wa sales akaacha akaingia kwenye kujiajiri unaona huyu alipata ajira kwanza akajichanga ndio akajiajiri hayupo katika kundi analoliongelea mleta mada.
Narudi kusema kuwa kulea ni kazi kubwa sana. Na mtoto anahitaji ukaribu mkubwa sana na wazazi. Ukiwa karibu naye kuna mambo unamfundisha asirudie makosa yako na kuna mawaidha atajifunza kutoka kwako. Ishu si kuajiriwa bali ni kujenga mtu anayejua kupambania Maisha yake. Mtu ambaye hata ukishaondoka duniani anaweza akasimamia majukumu yako.Hapa uko sahihi asilimia zote. Lakini pia kumbuka,idadi ya ajira zilizopo na idadi ya wahitimu.
Siku hizi,kuna watu ukiangalia matokeo ya kazi zao,ni balaa tupu. Lakini kwa sababu ni fulani wa fulani,huna namna. Yule aliyestahili kuwa pale hajaweza. Afanyeje labda?
Wanataka kuendesha Brevis, huku wanafanya kazi bank, tai na kiatu kinang'aa wakipita pita bank hall sisi tupo kwenye foleni tukisubiri huduma yao wanatuona mafala.Watu kama ww JF wamebaki wachache
Watu wanapenda sana kunyuka suti,moka na mjusi shingoni lkn akaunti hazisomi milions.
Inshort kama ww ni kijana na akaunt haisomi milions of sh ww ni kijana mpumbavuu.
Hahh ujinga tuWanataka kuendesha Brevis, huku wanafanya kazi bank, tai na kiatu kinang'aa wakipita pita bank hall sisi tupo kwenye foleni tukisubiri huduma yao wanatuona mafala.
Eti assurance ya kipato......huu ni upuuzi.
Eti anawaza pension gratuity ya mil 100 miaka 30 ijayo.
Sasa hivi unaishije?
" Elimu siyo njia ya kuukwepa umaskini, bali ni Silaha ya kupambana nao."Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia.
Wanasiasa hawafanyi ujinga huu kamwe wao na kizazi chao wanaandaliana future bora watoto wao. Hakuna mwanasiasa hata mmoja ataruhusu mwanae awe boda boda au mchoma chipsi wala kutanga tanga mtaani hovyo bila future yoyote ile.
Mzazi jukumu lako lisiishie kuzaa na kupeleka mtoto shule pekee bali muandalie na future bora mtoto wako.
[IMG alt="lukesam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/275/275627.jpg?1500562796[/IMG]
lukesam
JF-Expert Member
Inawezekana wazee wetu walishakosea huko nyuma ila sasa ni muda wa kujisahihisha na kuwa bora kuliko wao.
- "Hatuwezi kuwa matajiri wote kama Bakhresa lakini ni vizuri sisi watu weusi tukajifunza kwao na jamii nyingine kama za wahindi.
Wazazi wa kiafrika wana tabia za kichoyo na kibinafsi, hata akiwa na duka lake hataki mtoto wake auze au ajue jinsi ya kuendesha biashara, anaogopa kuibiwa hata kijana wake hamuamini.
Watoto wetu wanahangaika sana kutafuta ajira kwasababu walienda shule kusomea taaluma za ndoto zao bila kujua baada ya kumaliza wataenda kufanyia kazi wapi. Tofauti na sisi, hawa wenye asili ya kihindi na matajiri wengine, watoto wao wanaenda shule kusomea taaluma ambazo wanajua wakitoka hapo wataenda kupata ajira kwenye miradi ya familia.
Tuweke nguvu katika kuanzisha miradi ya kifamilia, familia za kitanzania tuache ubinafsi. Ndio maana hata ukimshauri mtu aandike wosia au agawe mali zake akiwa hai anakushangaa, mzee kabisa anataka afe akiwa anamiliki mali zake zote.
Suluhisho la kusomea uhasibu au uchumi na kuishia kuwa muuza chipsi au bodaboda ni kuanzisha miradi ya kifamilia. Binafsi naona hii itapunguza sana tatizo la ajira na hali ya umaskini katika familia zetu.
Inaumiza sana kupoteza miaka mingi shuleni na kuishia kufanya kazi ambazo hata hazihitaji elimu".
Umeongea point kubwa sana ila umesahau kuwa kuna waliosoma course zenye kipaumbele na bado wakakosa connection............sidhan kama kuna kumuandalia mtoto future zaid ya elimuInahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia.
Wanasiasa hawafanyi ujinga huu kamwe wao na kizazi chao wanaandaliana future bora watoto wao. Hakuna mwanasiasa hata mmoja ataruhusu mwanae awe boda boda au mchoma chipsi wala kutanga tanga mtaani hovyo bila future yoyote ile.
Mzazi jukumu lako lisiishie kuzaa na kupeleka mtoto shule pekee bali muandalie na future bora mtoto wako.
[IMG alt="lukesam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/275/275627.jpg?1500562796[/IMG]
lukesam
JF-Expert Member
Inawezekana wazee wetu walishakosea huko nyuma ila sasa ni muda wa kujisahihisha na kuwa bora kuliko wao.
- "Hatuwezi kuwa matajiri wote kama Bakhresa lakini ni vizuri sisi watu weusi tukajifunza kwao na jamii nyingine kama za wahindi.
Wazazi wa kiafrika wana tabia za kichoyo na kibinafsi, hata akiwa na duka lake hataki mtoto wake auze au ajue jinsi ya kuendesha biashara, anaogopa kuibiwa hata kijana wake hamuamini.
Watoto wetu wanahangaika sana kutafuta ajira kwasababu walienda shule kusomea taaluma za ndoto zao bila kujua baada ya kumaliza wataenda kufanyia kazi wapi. Tofauti na sisi, hawa wenye asili ya kihindi na matajiri wengine, watoto wao wanaenda shule kusomea taaluma ambazo wanajua wakitoka hapo wataenda kupata ajira kwenye miradi ya familia.
Tuweke nguvu katika kuanzisha miradi ya kifamilia, familia za kitanzania tuache ubinafsi. Ndio maana hata ukimshauri mtu aandike wosia au agawe mali zake akiwa hai anakushangaa, mzee kabisa anataka afe akiwa anamiliki mali zake zote.
Suluhisho la kusomea uhasibu au uchumi na kuishia kuwa muuza chipsi au bodaboda ni kuanzisha miradi ya kifamilia. Binafsi naona hii itapunguza sana tatizo la ajira na hali ya umaskini katika familia zetu.
Inaumiza sana kupoteza miaka mingi shuleni na kuishia kufanya kazi ambazo hata hazihitaji elimu".
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.

" Elimu siyo njia ya kuukwepa umaskini, bali ni Silaha ya kupambana nao."