Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Alafu mbona Kuna mkanganyiko hapa kwenye hii mada!. Hatuwezi kupima ubora wa elimu kwa kigezo cha ajira. Hapa tutakuwa tunajadili 'Hamna'. Msingi wa elimu unataka Nini?. Tatizo la ajira linasababishwa na nn?.

Hatuwez kupima ubora wa elimu iliyopo kwa kigezo cha ajira.
Kaka ubora wa elimu utaupima kwa namna ambavyo huyo mhitimu anaweza kuitumia elimu yake kutatua changamoto za jamii yake ikiwa ni pamoja na kutengeneza ajira,
 
Kwa hio unataka kusemaje? Wasomi wote wawe wachoma Chips?
Hapana,

Nina maana ya kusema kuwa, nia ya usomi ni kupanua uwezo wa mtu kufikiri, kuongeza vitu vipya vyenye ufanisi.

Inawezekana kabisa msomi akaanzisha biashara ya chipsi kisomi, ikaongeza kitu kwenye soko la chipsi, chipsi zikawa na ladha bora zaidi, zikatumia viungo bora, zikapikwa katika mazingira mazuri, akatumia nishati rafiki kwa mazingira kupika, akafanya marketing ya kisasa na kisomi, watu wakapenda sana, akafanya biashara nzuri kabisa.

Biashara nyingi zinaweza kuboreshwa kwa usomi, tatizo la watu wengi ni kufikiri kwamba usomi maana yake ni kufanya kazi ofisini, au za aina fulani tu, na msomi hatakiwi kuuza chipsi.
 
Mimi sisemi vibaya wanaojiriwa na wala siwashushi heshima. Dunia ina watu wengi walioajiriwa. Hata mimi nimewahi kuajiriwa sehemu tofauti na industry tofauti.
Hoja yangu na yako ziko tofauti.
Kuhusu kuchafuka hii ni hoja nyepesi. Hata hapo panapochomwa chipsi ukienda mimi hunikuti.
Kama hoja ni kuwa mwenye mshahara wa laki 7 anaweza kumiliki vibanda 10 vya chipsi.....mimi nafeli wapi? Yeye ana vimiliki vipi na anafanya kazi from 8-5?
Ana free time ya kufanya ukaguzi?
Mind you, uhakika wa ajira na kipato ni serikalini tu. Private nyingi sana hazina uhakika wa kazi. Mikataba ya mwaka hadi mwakana hakuna fringe benefit ya maana. Una mkataba wa mwaka, unakopa wapi mil 20?
Kuna bank moja hapa Tanzania mfanyakazi hawezi kukopa pesa zaidi ya mkopo wa gari, salary advance ambayo maximum ni 4 times your salary au mortgage.
Sasa niambie mil 20 unakopaje hapo kwa mshahara wa laki 7?
Ngoja nikupe kidogo kuhusu mimi:-
1. Nina duka la furniture nimeshare na bro tumeweka partnership kisheria kabisa
2. Mimi binafsi nina stationery
3. Nina banda la chipsi
4. Nna share 50% kwenye kikampuni kidogo cha microfinance.
3. Hapa nafikiria kuanzisha PRINTING SERVICES business nifanye printing ya nguo, embroidery, vikombe, bahasha, vitabu, large format printing etc. Ntaisajili kama kampuni.
Lakini msingi wa vyote hivi ni ajira zangu zilizopita.
Kama unamwandaa mtoto mwandae aje apambane katika sekta zote. Unaonaje ukawa na biashara na ukamwajiri mwanao humo?
Tusifikirie tu status, kupendeza, assurance ya kipato, kazi soft soft.....n.k
Uncertainty zipo kila mahali.

Profits are sweeter than salaries.
Watu kama ww JF wamebaki wachache

Watu wanapenda sana kunyuka suti,moka na mjusi shingoni lkn akaunti hazisomi milions.

Inshort kama ww ni kijana na akaunt haisomi milions of sh ww ni kijana mpumbavuu.
 
Wewe na wewe akili zako hazina akili, ulisoma Chuo uwe mchoma Chips si ungeacha kitambo uchome chips ukishindwa nini?
Sawa,akili zangu hazina akili. Ina maana kuchoma chipsi huko ndio wamependa? We mwenye akili zenye akili nieleze. Wamependa?? Wakati wanasoma wote si walijua watapata ajira? Haya, hizo ajira hawajapata. Wakae tu nyumbani?

Hawapo ambao hawajaendeleza elimu wakafanya mambo mengine na leo wapo vizuri? Unadhani wangejua hawatapata ajira wasingechukua maamuzi mengine!
Kama umejaliwa kujiajiri au kuajiriwa,usidhani wenzako ambao hawajapata bahati hiyo ni wajinga mkuu.
-Wapo wanaoajiliwa,mwisho wa siku wanarudi walikokuwa kabla ya ajira.
-Wapo ambao hawajaajiliwa,wanakaanga chipsi mwishowe ajira zikitokea wanapata.
Ila nimeuliza hujajibu. Maisha ni ajira tu? Wanaojiajiri hawaendelei?
Au ni kwamba kuna kazi mnaziona za aibu? Unajuaje kama hatoajiliwa labda kupitia mteja atakaekula chips kwake au atakaebebwa kwenye pikipiki yake?
Haya, kila mwaka vyuo vinaachia wangapi?
Una uhakika idadi hiyo yote nafasi zao zinakuwepo halafu wananyimwa?
 
Tupunguze kuzaa ovyo ovyo umetaka watoto wengi kuliko uwezo wako kulea. Kwa ulicho andika hapa ulitakiwa uwe na watoto maximum wawili. Ukiwa na watoto wachache na ukawa nao karibu, ni asilimia ndogo sana watafeli maisha hapo baadae.
Hapa uko sahihi asilimia zote. Lakini pia kumbuka,idadi ya ajira zilizopo na idadi ya wahitimu.
Siku hizi,kuna watu ukiangalia matokeo ya kazi zao,ni balaa tupu. Lakini kwa sababu ni fulani wa fulani,huna namna. Yule aliyestahili kuwa pale hajaweza. Afanyeje labda?
 
Kwanza kabisa unapata kuielewa thamani ya utu wako. Ambayo kwengine popote nje ya madrassa hufundishwi hilo.
Thamani gani hiyo iliyopo madrasa ila mifumo mingine ya elimu haifundishi?

Unamaanishi kuzama jua kwenye tope?
Au ninyi watu watu weusi ni kizazi kilicholaaniwa?

Au kulisujudia Al Kaaba?
Au uaminishwe ustaharabu ulianzia Uarabuni?

Ufundishwe kuidharau, kutweza na kuacha Mila zenu huku mkitukuza Mungu wa Kigeni aitwae Allah?

Au uwepo wa farasi mwenye mabawa?

Thamani ya mtu ipo kwenye Kujitambua na ili ajitambue anatakiwa apate elimu sahihi itakayo weza kumsaidia maisha yake na sio blah blah za zama za ujinga na enzi za ushairi
 
Hapana,

Nina maana ya kusema kuwa, nia ya usomi ni kupanua uwezo wa mtu kufikiri, kuongeza vitu vipya vyenye ufanisi.

Inawezekana kabisa msomi akaanzisha biashara ya chipsi kisomi, ikaongeza kitu kwenye soko la chipsi, chipsi zikawa na ladha bora zaidi, zikatumia viungo bora, zikapikwa katika mazingira mazuri, akatumia nishati rafiki kwa mazingira kupika, akafanya marketing ya kisasa na kisomi, watu wakapenda sana, akafanya biashara nzuri kabisa.

Biashara nyingi zinaweza kuboreshwa kwa usomi, tatizo la watu wengi ni kufikiri kwamba usomi maana yake ni kufanya kazi ofisini, au za aina fulani tu, na msomi hatakiwi kuuza chipsi.
Mkuu kuna kitu hamjamuelewa mtoa mada. Kwa kifupi anamuongelea yule mhitimu alietoka chuo akiwa hana chcohote mfukoni. Hizi mambo za kuuza chipsi, bodaboda n.k zinahitaji pesa mtaji wa chipsi kwa makadirio ya chini kabisa inaweza kuwa almost milioni 1, pikipiki mpya inagonga sio chini ya milion 2.5. Mhitimu atatoa wapi iyo pesa? Nadharia nyingi za watu hapa wanamuelezea mtu ambae tayari ana ajira sasa anataka kupanua kuongeza vyanzo vya mapato hapo muhusika atajibana mshahara wake atafungua biashara halafu ataapply usomi wake lakini anaemuongelea mtoa mada ni mhitimu ambae hana chochote zaidi ya certificates tu. Uko juu nimeona Sean Paul anaponda wasomi kwa kuchagua kazi yeye ana biashara ya chipsi ambayo anapiga hela zaidi ya msomi alieajiriwa at the same time anasema alishaajiriwa kama mtu wa sales akaacha akaingia kwenye kujiajiri unaona huyu alipata ajira kwanza akajichanga ndio akajiajiri hayupo katika kundi analoliongelea mleta mada.
 
Mkuu,

Nakubaliana nawe kuanzisha biashara ya mamilioni wakati mtu labda hata nauli tu ya kwenda mjini tatizo ni njozi

Lakini, kwa huyo unayemuita msomi aliyegraduate karibuni halafu hana ajira ni bora kabisa hata akaajiriwa kwenye kibanda cha kuuza chipsi kuliko kukaa bila kazi. Ilimradi anapiga mahesabu ya kujiongeza.

Yani kama mtu ana talent, ile kuwa na sehemu ya kwenda kufanya shughuli kila asubuhi tu inaweza kumletea connection nyingine kubwa huko huko akaunganisha mambo juu kwa juu. Kuliko kungojea kazi za ofisini ambazo hazipo.

Yani kama mimi nawafanyia interview watu wawili, wote wame graduate mwaka mmoja uliopita, wote wana kila kitu sawa, nitawauliza huu mwaka mmoja tangu u graduate umefanya nini?

Mmoja akiniambia kwamba nilikuwa najishikiza katika kibanda cha chipsi cha mtu nikajifunza mambo mawili matatu kuhusu business na customer care, halafu mwingine akaniambia nilikuwa natafuta kazi inayoendana na usomi wangu sikupata, mimi nitamuona huyo aliyejishikiza kwenye kibanda cha chipsi ana initiative, naweza kumuajiri huyo kirahisi kuliko aliyekuwa anasubiri kazi ya kufunga tai.

Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Tanzania, Ali Mufuruki, aliwahi kuliongelea hili jambo, kwa kusema kuwa uki graduate maana yake si kwamba hutakiwi kufanya kazi fulani, alitolea mfano watu wanaoosha magari mjini wanatengeneza pesa nzuri tu. Sifikiri kwamba kazi ya kuosha magari inahitaji mtaji mkubwa sana. Ila watu hao ma graduate wanaona aibu, wakionwa na wenzao waliosoma nao itakuwaje? Si wataonekana wameshindwa maisha sasa? Hili ni tatizo kubwa, watu hawaishi maisha yao wanavyotaka, wanaishi kwa kuangalia macho ya watu wengine yatawaonaje.

Sasa, usomi wako unatakiwa kukufanya uweze kupiga mahesabu ya kusema kwamba, mimi sitaki kuosha magari au kukaanga chipsi, (yani hata nikikaanga chipsi au kuosha magari, iwe kisomi, kampuni kubwa). Lakini biashara ninayotaka kuifanya inahitaji mtaji wa shilingi milioni mbili na nusu, ambayo sina. Na ajira za ofisini hakuna. Ninachoweza kufanya hapa ni kukubali hii kazi ya kuosha magari, nikichange mpaka nipate huo mtaji wangu, halafu nikishapata mtaji nitajiongeza na kufanya biashara ninayoitaka.

Kimsingi, Ali Mufuruki alionya dhidi ya tabia ya hao wanaoitwa wasomi kudharau kazi za mikono na zile zinazoonekana hazihitaji kisomo, hata kama zinaweza kumpa mtu kipato cha kujikimu na hata kupata mtaji wa kuanzisha mambo mengine makubwa.

Na hii mentality ya "kazi ni kazi, vibaya wizi" watu wengi waliosoma Ulaya/Marekani/Asia wanaielewa, kwa sababu huko wenzetu wengi washafuta ujinga siku nyingi, mtu kupata degree si msomi, ni kitu cha kawaida tu, na unaweza kukuta mtu ana degree yake ya gardening anapiga kazi ya landscaping, huko kwetu tunashangaa mtu ana degree anashughulika na uchafu wa udongo tena? Ulaya/Marekani Watu wanafanya kazi na kujilipia chuo, kwa hiyo si ajabu mwanafunzi wa chuo kuwa anafanya kazi car wash.

Tena mtu anaona fahari kabisa kwenye kazi yake. Marehemu Le Mutuz alikuwa anaona fahari sana kuwa yeye aliweza kufanya kazi ya "Waste Management" ikampa kipato kizuri. Tena mtu anaweza hata kujivunia kazi kifalsafa kwamba kazi yake ina mchango mkubwa sana katika kuboresha mazingira, pengine kazi hiyo ikawa na umuhimu mkubwa zaidi ya banker anayefunga tai na kutoza watu riba inayosaidia natajiri kuzidi kutajirika, na masikini kuzidi juwa masikini.

Yani mtu anaweza kujenga hoja ya kisomi kabisa kwamba kazi ya kuzoa takataka na kuzifanyia recycling ina umuhimu jatika jamii kuliko kuwa afisa wa benki anayefunga tai na kukaa ofisini kwenye kiyoyozi.

"Wasomi" wetu wangapi wanachangamkia kazi za kuzoa taka? Zinadharaulika nankuonekana ni za watu duni kabisa. Wakati ukideal na electronic waste recycling tu kuna hela nyingi sana hapo.

Yani ukienda hata Nairobi tu utaona tofauti kubwa sana ya mentality kwenye mambo haya, huhitaji hata kwenda Ulaya au US.

Sisi kwetu bado tunalimbuka, mtu anayehitimu ki degree chake cha kwanza naye automatically anajiona msomi, wakati Jenerali Ulimwengu anatuambia kamaliza Form Ten tu. Sasa huyu naye analimbuka kuwa yeye ni msomi, hawezi jufanya kazi ya kuuza chipsi na kuosha magari.

Hata kama kazi hiyo anaweza kuifanya kwa mwaka tu na ikampa mtaji wa kufanya mambo yake mengine anayotaka.
 
Hapa uko sahihi asilimia zote. Lakini pia kumbuka,idadi ya ajira zilizopo na idadi ya wahitimu.
Siku hizi,kuna watu ukiangalia matokeo ya kazi zao,ni balaa tupu. Lakini kwa sababu ni fulani wa fulani,huna namna. Yule aliyestahili kuwa pale hajaweza. Afanyeje labda?
Narudi kusema kuwa kulea ni kazi kubwa sana. Na mtoto anahitaji ukaribu mkubwa sana na wazazi. Ukiwa karibu naye kuna mambo unamfundisha asirudie makosa yako na kuna mawaidha atajifunza kutoka kwako. Ishu si kuajiriwa bali ni kujenga mtu anayejua kupambania Maisha yake. Mtu ambaye hata ukishaondoka duniani anaweza akasimamia majukumu yako.
 
Watu kama ww JF wamebaki wachache

Watu wanapenda sana kunyuka suti,moka na mjusi shingoni lkn akaunti hazisomi milions.

Inshort kama ww ni kijana na akaunt haisomi milions of sh ww ni kijana mpumbavuu.
Wanataka kuendesha Brevis, huku wanafanya kazi bank, tai na kiatu kinang'aa wakipita pita bank hall sisi tupo kwenye foleni tukisubiri huduma yao wanatuona mafala.
Eti assurance ya kipato......huu ni upuuzi.
Eti anawaza pension gratuity ya mil 100 miaka 30 ijayo.
Sasa hivi unaishije?
 
Hahh ujinga tu

Watu tunakula bata ukituona tulivyo huwezi jua kama tuna kula bata and goodlife.
 
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.

Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia.

Wanasiasa hawafanyi ujinga huu kamwe wao na kizazi chao wanaandaliana future bora watoto wao. Hakuna mwanasiasa hata mmoja ataruhusu mwanae awe boda boda au mchoma chipsi wala kutanga tanga mtaani hovyo bila future yoyote ile.

Mzazi jukumu lako lisiishie kuzaa na kupeleka mtoto shule pekee bali muandalie na future bora mtoto wako.

[IMG alt="lukesam"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/275/275627.jpg?1500562796[/IMG]

lukesam

JF-Expert Member​

  • "Hatuwezi kuwa matajiri wote kama Bakhresa lakini ni vizuri sisi watu weusi tukajifunza kwao na jamii nyingine kama za wahindi.
Inawezekana wazee wetu walishakosea huko nyuma ila sasa ni muda wa kujisahihisha na kuwa bora kuliko wao.

Wazazi wa kiafrika wana tabia za kichoyo na kibinafsi, hata akiwa na duka lake hataki mtoto wake auze au ajue jinsi ya kuendesha biashara, anaogopa kuibiwa hata kijana wake hamuamini.

Watoto wetu wanahangaika sana kutafuta ajira kwasababu walienda shule kusomea taaluma za ndoto zao bila kujua baada ya kumaliza wataenda kufanyia kazi wapi. Tofauti na sisi, hawa wenye asili ya kihindi na matajiri wengine, watoto wao wanaenda shule kusomea taaluma ambazo wanajua wakitoka hapo wataenda kupata ajira kwenye miradi ya familia.

Tuweke nguvu katika kuanzisha miradi ya kifamilia, familia za kitanzania tuache ubinafsi. Ndio maana hata ukimshauri mtu aandike wosia au agawe mali zake akiwa hai anakushangaa, mzee kabisa anataka afe akiwa anamiliki mali zake zote.

Suluhisho la kusomea uhasibu au uchumi na kuishia kuwa muuza chipsi au bodaboda ni kuanzisha miradi ya kifamilia. Binafsi naona hii itapunguza sana tatizo la ajira na hali ya umaskini katika familia zetu.

Inaumiza sana kupoteza miaka mingi shuleni na kuishia kufanya kazi ambazo hata hazihitaji elimu".
" Elimu siyo njia ya kuukwepa umaskini, bali ni Silaha ya kupambana nao."
 
Umeongea point kubwa sana ila umesahau kuwa kuna waliosoma course zenye kipaumbele na bado wakakosa connection............sidhan kama kuna kumuandalia mtoto future zaid ya elimu
 
No one knows tomorrow, even Magufuli didnt know, tunachofanya wanaume ni:

1. Kuamini.
2. Kuomba Mungu.
3. Kuwekeza kwa watoto.

Matokeo ni ya Mungu.

Kamwe huwezi acha pambana na watoto sababu ya fikra za hovyo.
 
Back
Top Bottom