Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

Tumesema acha liwalo na limkute tu
 
Mbona povu sana.Badilishana nae basi uolewe wewe na hao KKKT.
Dada yako ni mlemavu wa akili mpaka mmchagulie mume?
Si umeandika amesoma mpaka Chuo Kikuu?
Ndio kasoma ila hatuwataki hatuwataki mkaone wenyeeew huko
 
Akiwaambiaa Nitafutieni anaenikojoza kama Abdul mtaweza???🤣🤣🤣 dini zililetwa tu acheni ubabaifuu japo watoto wakizaliwa watashindwa kuwa na msimamo kuhusu dini gani ya kufataa..
Ndio hapo bhnaa mzee wa kiamsiara heri aliwe na wakiristo awe mchepuko ila siyo ninyi wazeee wa makanzu
 
Mtoto akililia wembe mpe, anaweza katia kucha ama akajikata.
Plus, watoto wa kike hao mtakataa kataa kataa atapigwa PUMBU awaletee mimba.

Kwakuwa huyo abdul kaleta barua tena ya kuoa, muozesheni tu.
 
Mtoto akililia wembe mpe, anaweza katia kucha ama akajikata.
Plus, watoto wa kike hao mtakataa kataa kataa atapigwa PUMBU awaletee mimba.

Kwakuwa huyo abdul kaleta barua tena ya kuoa, muozesheni tu.
Hapana no Abdul atafute mke kweny msiskiti Huko watakuja mrushia dad etu majini yao
 
Unanikumbusha mbali sana mkuu.

Dini ilinifanya nishindwe kuwa na mwanamke niliyempenda kwa dhati sana. Tulipendana sana lakini mwisho tukaamua tu kunyoosha mikono ya kwamba M/Mungu hakupanga tuje kuwa wote kimaisha daima na milele. Mpaka sasa huwa tunawasiliana, yeye alishaolewa na mm nilishaoa pia kila mtu ana familia.

Huwa tutaonana mara kadhaa iwapo tukipata bahati ya kuwa mkoa mmoja kikazi ama kwa mambo mengine binafsi lakini sio kimapenzi. Tunasaidiana sana kwa mambo mengi ya kimaisha na kimaendeleo pia.

TULIPENDANA SANA.It was and still it will forever be...
 
Acheni ujinga, hizo imani ni tamaduni za wazungu na waarabu. Na hivyo vitabu ni vya hadithi tuu kama za shigongo. Mwache binti aolewe apewe mshedede azae watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…