Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.

Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.

Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
 
Wali wa Bar?
 
Ccm wakidemka na mirindimo ya lissu
images (1).jpeg
 
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.

Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.

Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Umeambiwa ni kiongozi wa dini. Hivi mzee. Pengo yuko wapi siku hizi?
 
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.

Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.

Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Mwanamke mfitini wewe
 
Mnataka kumuua?
 
Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Kwani Mkuu hujamsikia Mshauri Mkuu wa Rais kuhusu afya, Profesa Janabi kuhusu athari za huo unene 😜

By the way, sio Kila mtu aliyepo Serikalini anafurahishwa na hayo mauaji

Kuua ni dhambi

Mungu hapendi mauaji

Ndiyo maana hata Nabii Musa alipoua, alikatazwa kuisogelea madhabahu ya Mungu

Akamwambia nenda kajisafishe kabla hujanikaribia

Tuacheni Siasa za kuuana, Bali tushindane Kwa hoja
 
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.

Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.

Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Unene ni ujinga, unene ni uzembe uzembe fulani hivi. Maisha yangu yote huwa naamini ukiwa mneene sana unapoteza uwezo wa kufikiri sawasawa.

Huyo mzee ni smart sana na ule mwili wake unasadifu matatizo ya hii nchi yanampa mawazo sana.

Ukiwa na uchungu na hii nchi huwezi kuwa na jimwili la ajabu ajabu kama duara, labda kama una ugonjwa unaoleta unene.
 
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.

Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.

Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Acha kujitoa ufahamu, mnamtafutia mtu vijisababu uchwara ili naye mumteke?
Mzee Wasira ni kiongozi wa kidini? Lissu kwa kauli yake amesema ni kiongozi wa kidini au ndiyo unarindima na ule msemo wa wahenga ya kwamba 'kamba hukatikia pembamba?'
You just aiming at your favorable target, pathetic.
 
Back
Top Bottom