RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Mnataka mmfanyie kama ya Mzee kibao!!?Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita Wilaya ya Bunda.
Mtu ambaye amekuwa akitoa milio kama ya Lissu kwa siku za karibuni, anatokea huko huko.
Connect dots utapata jibu na ni anamlisha Lissu taarifa za uchonganishi, japo kwa umri wake alitakiwa awe na busara na hekima. Na ukiwa na shughuli za hivyo unene utausikia tu.
Mzee kibao ni mstaafu was intelligence ya kijeshi huoni kupotea kwake lazina watu waliwe vichwa!!?