Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

Mnataka mmfanyie kama ya Mzee kibao!!?

Mzee kibao ni mstaafu was intelligence ya kijeshi huoni kupotea kwake lazina watu waliwe vichwa!!?
 
Lissu asifafanue saaana sources zake.
Katika ule ufafanuzi wake ndiyo alippwafunika na pipa la lami, hata sauti hawataiikia labda watege sikio chini ya ardhi napo wataishia kusikia vishindo tu.
Unadhani Lissu ni fala? Pia huyo mtoa taarifa siyo fala na kwa pamoja wameshirikiana kuuchora wasifu wa mtoa taarifa.
Ingawa kwa wafungua code tumeshamjua na haitatokea waweze kui crack hiyo code.
 
Punguza Majungu
 
Lissu alitamka ni kiongozi wa dini, hawa watangazaji waka interrupt kwa swali. Possibly ni Emeritus Archbishop, Archidioecesis Daressalaamensis
 
Wala siyo huyo JSW, maana lisu na mbowe wanataka kumalizana na mbowe alivyo na uchu wa madaraka hatokubali lazima mmoja afe kama alivyomuua chacha wangwe. Na mbowe ana akili sana yaani aliona kabisa lisu ni tatizo akamkosa kosa 2017 sasa sijui safari hii kama atamshindwa
 
Inawezekana asiwe mbali kiasi hicho ila ikawa ni namna yakuficha code ili asifahamike kiurahisi..
Yale majamaa ya pale makumbusho yanajua,na ukute ni mwenzao na ni mpango maalum
 
Mnataka mmfanyie kama ya Mzee kibao!!?

Mzee kibao ni mstaafu was intelligence ya kijeshi huoni kupotea kwake lazina watu waliwe vichwa!!?

..wakiuwana wanausalama ndio itakuwa vizuri zaidi.

..majuzi kauwawa ndugu wa RPC mmojawapo.

..Manyoni kauwawa kada wa Chadema ambaye kaka yake ni askari wa JWTZ.

..haya mambo hayakomi kwasababu vyombo vya usalama vinaona waathirika ni Chadema tu, wao hawatafikwa na madhara ktk kuilinda Ccm.
 
Jf bana,mnajionaga mna akili kuliko wengine,huko kitengo kuna watu,ni kitengo wenyewe wanamlisha hizo shudu
 
Hayo mawazo yako ya kichawi umeyatoa wapi why utukane maumbile ya watu umetumie video gani kuhitimisha unene ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…