Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

Eeehhh
 
Umeambiwa ni kiongozi wa dini. Hivi mzee. Pengo yuko wapi siku hizi?
Mzee Pengo anaumwa sana siku hizi.
Hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi kama huu .
Chadema imesambaratka wanashikana mashati eti mtu wa Serikali atake kumuua Tundu Lissu?
 
Wauaji wakitafuta mtu wa kumzamisha ardhini huwa na maswali ya kijinga kama yako
 
..Warioba yuko Dsm.

..Wazee ambao wako mikoani ni Wakuu wastaafu wa Majeshi na vyombo vya ulinzi.
 
Hayo mawazo yako ya kichawi umeyatoa wapi why utukane maumbile ya watu umetumie video gani kuhitimisha unene ni ujinga
Mtazamo haupigwi rungu, pole kama nimekuumiza.

Kuna opinion na fact, jua kutofautisha kati ya hivyo viwili na utaishi kwa amani.
 
Mke wa Lisu anatokea huko mkoa wa Mara
Huko ni kwa wakwe wa Tundu Lisu
 
Kwanza hapa Kuna uongo mwingi hawezi mtaja mtu ambae ana mpa info za kiusalama Ili iwaje? Hapo anawapoteza maboya.
 
Mzee Pengo anaumwa sana siku hizi.
Hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi kama huu .
Chadema imesambaratka wanashikana mashati eti mtu wa Serikali atake kumuua Tundu Lissu?
Mlimshindwa 2017 na waziwazi akasema ni njama zilipangwa na Jiwe huku Bashite akiongoza kikosi, kwanini hafunguliwi mashtaka kwa kuipaka serikali matope? What are you scared of?
 
Siku 2 kwa gari sawa, na hiyo hiyo safari kwa ndege ni siku moja
Huyo ndege atakuwa Tai kama sio mbuni
Siwezi amini msomi anasema haya
Au hiyo safari ya ndege ni Transit na sio direct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…