Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

Kizuri ni kuwa hamjafikia viwango vya kufanya ndege karandinga lisiloeleweka,na karandinga mlilozoea linachukua masaa ya kutosha kiasi cha siri za karandinga kuvuja.Ushauri wewe hangaika na yaliyo ndani ya uwezo wako yanayokuzidi achana nayo.
 
Usinipangie
 
wakiamua kumjua watamjua, coz watatrack number ya lisu kuona number zilizompigia hyo siku aliyosema!cyber unit watagundua ni number gani, unless alikua smart hakumpigia na number yake
 
Sumbawanga ni siku ngapi kwa gari???
 
wakiamua kumjua watamjua, coz watatrack number ya lisu kuona number zilizompigia hyo siku aliyosema!cyber unit watagundua ni number gani, unless alikua smart hakumpigia na number yake
Classified info kama izo kweli mzee uzitoe kwa Kupiga simu na Namba yako tena normal calls? Hapo Mawasiliano itakuwa kwa Application kama Signal au Telegram ambayo yana offer end to end Encryption
Normal calls nikupigia Mashangazi na Wajomba Uko Mbwinde ila sio seriously Comms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…