TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

Muda wa walio hai kutafakari maisha ya marehemu...
 
Mathayo daudi ni mbunge wa kitambo na ni mtoto wa msuya
 
Hamtoi tanzia iliyojitosheleza, kwa nini hamtaji wasifu wake binafsi?

Unadhani watoto wa 2000 watawaelewaje?
 
Mda umefika , hii inatukumbusha pakubwa sana, wote ni udongo , roho yake ipumzike panapostahili. Pole wafiwa ndugu na jamaa
 
Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu alituletea lami na Umeme toka Miaka Ile ya 1980s. Asante sana Baba. Asante CCM
 

Attachments

  • ikulu_mawasiliano_3173498.jpg
    339.8 KB · Views: 28
Wanangu kifo kipo.
Kifo hakitambui umaarufu wako,
Kikiamua kuja kinakuja tu.

Rest Well Bwana Cleopa David Msuya.
 
Apumzike kwa amani Mzee CD Msuya. Poleni sana Dr John na Ndugu wote.
 
Unambiwa alikua makau wa rais waziri mkuu, alipata kuwa na nyasifa, kubwa jmt, anasitahili.
 
Mwenye kujua kwa nini anatajwa makamu wa kwanza wa Rais atuambie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…