Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Lowasa nae mlimpima?
Amesema hajiungi na chama chochote cha siasa.
kwa sasa DR. Slaa yupo wapi na Lowassa yupo wapi? Choo alichokikimbia sebureni akiwa CDM naona sasa kimemfuata chumbani.Wakati anaondoka chadema alitoa hoja zake nyingi sana,lakini kubwa ni ile ya kupinga kumpokea Lowassa na Sumaye ambaye kwa maoni yake alisema Sumaye hana "tija" yoyote kuhamia CDM.....naam Dr.Slaa was absolutely right.
Una Habari kuwa Lowasa alipewa kugombea urais ndani ya siku tatu za kuhamia chamani?anasema hakutaka vyeo wakati anaingia CHADEMA...hana hata miaka mitano kwenye chama anataka kuwa mwenyekiti wa chama..chama kikubwa kama CHADEMA
Makosa ni sehemu ya kujifunza!! hata CCM wamefanya makosa mengi kiasi kwa sasa wanajuta!!Kosa kubwa la CDM ilikuwa kumpokea Lowassa. Watajuta maisha yao yote. Mengine ni matokeo tu.
Daudi Mchambuzi unamsikia mzee Sumaye, kazi ya upinzani ni kuifanya CCM isilale usingizi na siyo kushika Dola...... Uwepo wa Upinzani mnufaika namba 1 ni CCM!
Unataka kusema Dr. Slaa hivi sasa ni CCM? Cheo chake sio cha kisiasa. Yeye ni mtumishi wa serikali tu.kwa sasa DR. Slaa yupo wapi na Lowassa yupo wapi? Choo alichokikimbia sebureni akiwa CDM kinamfuata.
Mkuu upo sawa !! napata wasiwasi mkubwa.Unataka kusema Dr. Slaa hivi sasa ni CCM? Cheo chake sio cha kisiasa na ni mtumishi wa serikali.