Mbona Mwinyi alisema Kweli tu,Kikwete alileta wabrazil kufanya upembuzi yakinifu wa kujenga Hilo bwawa,acheni kumtukuza Mungu wenu wa chato
Ile ilikuwa ni SARCASM kutoka kwa Ali Hassan Mwinyi. Inahitaji uwe na akili kuelewa nahau na tafsida zakeMbona Mwinyi alisema Kweli tu,
Kwamba Magu amefanya makubwa Kwa miaka 5 ambayo Yeye na wengine wameshindwa Kwa ten years?
Anyway kule pwani, unafiki imekuwa kama jadi!!
Kuanza ni pamoja na mchakato,hufiki tuu na kuanza?Sasa kwanini hawakuanza walingoja nini?
Una uhakika?Wewe unapata wapi ujasiri wa kumtaja Magufuli. Ulikuwa mwizi na tapeli akakula kichwa. Endelea kusifia chura lako la kihansi Magufuli si saizi yako
Mbona miradi Mingi mikubwa Alianzisha na kutekeleza,Hilo la maneno ni shida zako binafsiKikwete alikua mtu wa kuanzisha mradi kwa maneno ndg
Huyu si ndio alituadanganya Kigamboni utakua Los Angeles 😹
Vitendo ni pamoja na mchakatoKwahiyo maneno ni makuu kuliko vitendo ...hata dini yako inasema imani bila matendo ni mfuu tu ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama sa100
Alipoingia magu,mwinyi alisema nchi inaendeshwa Kama gari bovu,watu wakamwambia una mtoto mwenye future nzuri ya siasa,aliyeshika mpini network siyo nzuri,ndiyo akaanzisha wimbi la kusifu,bwawa la umeme na sgr huyo magu hakufikisha hata 40% ujenzi wake, barabara hata 1500km hakujenga,kikwete alijenga 6000km za barabara,Hilo tu magu hamfikii kikwete,ukiacha kuajiri,kuipandisha mishahara na madaraja,mikopo elimu ya juu,udahili elimu ya juuMbona Mwinyi alisema Kweli tu,
Kwamba Magu amefanya makubwa Kwa miaka 5 ambayo Yeye na wengine wameshindwa Kwa ten years?
Anyway kule pwani, unafiki imekuwa kama jadi!!
"Tanzania increases its ownership stake of Mnazi Bay to 40 percent | The Citizen" Tanzania increases its ownership stake of Mnazi Bay to 40 percentSasa Kwa data hizo fake, gesi ni yetu?
Siyo wewe ndiye upasae kutumia akili!!!Tumia Akili
Nimekuuliza swali, ukimiliki hisa 40% na mwingine akamiliki 60%, nani mmiliki hapo?"Tanzania increases its ownership stake of Mnazi Bay to 40 percent | The Citizen" Tanzania increases its ownership stake of Mnazi Bay to 40 percent
Lete data zako ambazo siyo feki tuzione,mnakunywa kila ujinga unaoletwa kwenu, matokeo mnakunya pumba
Unaweza ukawa uko sahihi lakini kwa kawaida kabisa ukiangalia unaweza ukawa na maono ila usiwe na uthubutu na ukawa huna maono ila ukawa na uthubutu sijui umenimanya hapo?Kuanza ni pamoja na mchakato,hufiki tuu na kuanza?
Mjinga sana hata hana aibuMzee huyo aliuza gesi yetu Kwa wageni!!
Wewe na shoga yako mkipata mia,wewe yako 40 na shoga yako 60,wewe unakua huna kitu kwenye hiyo 100!?...Nimekuuliza swali, ukimiliki hisa 40% na mwingine akamiliki 60%, nani mmiliki hapo?
Gesi ni Mali yetu?
Mchakato wa sgr ulishaanza na wachina,huyo Mungu wenu akaachana na wachina akakubaliana na waturuki kwa riba kubwa,acheni ujinga,leo tumerudi kwa wachinaUnaweza ukawa uko sahihi lakini kwa kawaida kabisa ukiangalia unaweza ukawa na maono ila usiwe na uthubutu na ukawa huna maono ila ukawa na uthubutu sijui umenimanya hapo?
Unamaanisha kuwa umejenga na unaishi Ukweni Kisha unatambankuwa una nyumba?Wewe na shoga yako mkipata mia,wewe yako 40 na shoga yako 60,wewe unakua huna kitu kwenye hiyo 100!?...
Chizi yuleKumbe viongozi wanzake walikuwa wanamshangaa anavyojigamba kana kwamba yeye ndio yeye kauanzisha mradi
Ww huna akili 🗑️Tabia za watu wasiojiamini na madikteta uchwara
Wewe unazo?Ww huna akili 🗑️