Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

anantuhuma nzito mno, kashausoma mchezo.
 
Mlivyo na wivu na jk utafikiri aliwaposa pamoja na mama Salma halafu akaenda kwa Salma badala ya kwenu.
Sisi tunamuongelea kiongozi wa kisiasa, huyu ni public figure. Bahati mbaya ubongo wako umejaa ujinga huelewi hata JK ana impact gani kwa taifa akifanya mambo kinyume.
 
Mtetee vinavyomake sense basi wakubwa hata kama anawalipa, au anonymity ndo inawapa ujasiri na kiburi kwamba watoto wenu hawatakuja kujua baba doctori chawa alikua anamwaga tope tu jf?
Kwani mpaka Sasa Kuna hoja yoyote humu mpaka tutor hoja?!!!
 
Sisi tunamuongelea kiongozi wa kisiasa, huyu ni public figure. Bahati mbaya ubongo wako umejaa ujinga huelewi hata JK ana impact gani kwa taifa akifanya mambo kinyume.
Kakufanyia lipi kinyume, kutokuongea msibani ambako mngepata mengine mengi ya kusema na kuzusha kutoka kwenye hicho ambacho angeongea?!!!!
 
Kakufanyia lipi kinyume, kutokuongea msibani ambako mngepata mengine mengi ya kusema na kuzusha kutoka kwenye hicho ambacho angeongea?!!!!
Bahati mbaya sana una akili fupi, sijui hata unaelewa kuwa una akili fupi
 
Si ndio alimtuma muajemi kwenda kwa marehemu kumuambia ajiuzuru
 
Nikiwaona akina Chala Taifa hata hamu ya kushangilia Taifa langu inaisha.
 
Dr wa manesi kuwa makini sio mda utakufa na ukimwi, kama kila nesi wewe ndo dr wake kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…