Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

Kutoa maoni yangu hakuhusiani na chuki, wewe hiyo chuki yangu kwa JK umeiona wapi kwenye maandiko yangu?

Mahaba yako yaliyopitiliza kwake yasikufanye umuone mwenye mawazo tofauti nae/nawe ni chuki, fungua akili.

Naamini JK anaufurahia uwepo wa Samia madarakani kwasababu anaweza hata kujigeuza bodyguard wake aende nae nje kutalii kwa gharama ya kodi zetu, wewe kwa mahaba yako huwezi kuona hili, stay as you are.
Mkuu Deno nasisitiza mtazamo wako uheshimiwe! 🙏
 
I hope Kikwete nae alitoa mchango wake kwenye zile milioni 120 alizochangiwa Samia za kuchukua form, uwepo wa Samia ikulu unamsuuza sana nafsi, ni kama vile anaogopa asije Rais mwingine akamuweka tena roho juu...
Acha ramli mtoto wa kiume wewe
 
Back
Top Bottom