ngoshakolya
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 118
- 98
Huenda anampiga mavituz Maza huoni anavyorembuaI hope Kikwete nae alitoa mchango wake kwenye zile milioni 120 alizochangiwa Samia za kuchukua form, uwepo wa Samia ikulu unamsuuza sana nafsi, ni kama vile anaogopa asije Rais mwingine akamuweka tena roho juu.
• Ni vitu gani vinavyomkosesha amani endapo 2025 atakuja Rais mwingine tofauti?
• Anaficha nini kupitia uwepo wa Samia madarakani?
• Kwanini anaonekana kuwa huru sana kutokana na uwepo wa Samia ikulu?
Ni kama vile anaongoza nchi kutokea Msoga, ndio maana hataki Samia aondoke ikulu.