Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

katika kale kakikundi ka wazee wahuni nadhani mjumbe mmojawapo huyo, haamini hizi nyakati ni za kisasa sana lolote laweza tokea, watu tumebadilika sana. Moyo wake ameujaza dhurma ndio maana ikitokea tofauti anaamini ni mambo ya ajabu
 
Kwahiyo Mpango ajiandae kutafuta kazi ya kufanya baada ya 2025

Ila miaka zaidi ya 65 ni muda wa kwenda kulea wajukuu

Waziri ambaye ni mkatoliki na mwenye ushawishi serikalini anaweza akavaa viatu vyake
 
CCM ikikubali na kufanikisha uwepo wa tume huru, ikiacha matumizi ya polisi na taasisi nyingine za dola kudhibiti chaguzi na ikiacha kabisa kughushi matokeo ya chaguzi, hayo ndiyo yatakuwa MAMBO YA AJABU SANA kama anavyojua JK.

Haiyumkiniki.

Ni “mwehu” tu ndani ya CCM asiyejali kabisa uhai wa chama anayeweza hata kufikiria mambo ya ajabu kiwango hicho. Ni kama kumzimia mtambo wa life support mgonjwa aliye kwenye hali ya coma!

JK akili kubwa. Anajua tishio lililomkabili 2014 la chama kumfia mikononi alipokubali mchakato wa katiba mpya akabadili gia chap chap.
 
Alituachia "Maisha bora kwa Watanzania"..... Tuendelee kumuenzi, eti wajameni eeeh!
 
JK ni Mafia
Kaishikilia hii nchi, apewe maua yake
Hata yule CDF alikuwa anafuata maelekezo ya mjeshi mwenzake Kanali Kikwete
Mtapiga kelele, ikifika saa, mtakojoa na kwenda kulala

1710972689528.png
 
Raisi ana asili ya wapi? Bashe ana asili ya wapi? Obama alikuwa na asiki ya wapi? Angekuwa mrundi vyombo visinge mpitisha. Na hata mkuu wa majeshi jina lake lina asili ya wapi?
Hatuwataki warundi kwenye nchi yetu kwani hukumsukia CDF ndo maana hatakiwi kurudi
 
Back
Top Bottom