NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
"Unless yatokee mambo ya ajabu"(yaani anaamini la ajabu linaweza tokea"
Mkuu hii inaitwa du'a la kuku.....! 🤣 🤣 🤣Kama unamjua mwambie apunguze kutangatanga na kodi zetu na awe makini Boeing zinaanguka siku hizi
Mkuu Deno nasisitiza mtazamo wako uheshimiwe! 🙏Kutoa maoni yangu hakuhusiani na chuki, wewe hiyo chuki yangu kwa JK umeiona wapi kwenye maandiko yangu?
Mahaba yako yaliyopitiliza kwake yasikufanye umuone mwenye mawazo tofauti nae/nawe ni chuki, fungua akili.
Naamini JK anaufurahia uwepo wa Samia madarakani kwasababu anaweza hata kujigeuza bodyguard wake aende nae nje kutalii kwa gharama ya kodi zetu, wewe kwa mahaba yako huwezi kuona hili, stay as you are.
Mkuu huu ni mtazamo wako na uheshimiwe! JK naye ana mtazamo wake, naye wa kwake uheshimiwe! Chuki ya nini, wakati mtazamo wako weye umeheshimiwa???
Nikiandika hapa dua langu, kabla ya kesho ijafika nitakuwa lock up.Mkuu hii inaitwa du'a la kuku.....! 🤣 🤣 🤣
Wewe unao msaada gani zaidi ya kuwa na mdomo mchafu kama chooHuyu jamaa hana msaada wowote kwa Taifa.
Hivi Mbowe alienda bungeni kwa kuiba kura ehe?Waandishi wangekuwa na akili kama wenzetu wangemuulizi ni katika uchaguzi upi CCM iliwahi kushinda bila wizi wa kura?
Unamaanisha nini?Ujumbe kwa Dr. Isdori Mpango kuwa umakamu wake unaweza kuishia hapo.
2025 atapata mandate yake yeye akiwa yeye sasa ndiyo Rais, nayeye atatutafutia mtu mwingine atakayekwenda naye
Acha ramli mtoto wa kiume weweI hope Kikwete nae alitoa mchango wake kwenye zile milioni 120 alizochangiwa Samia za kuchukua form, uwepo wa Samia ikulu unamsuuza sana nafsi, ni kama vile anaogopa asije Rais mwingine akamuweka tena roho juu...
Nimenukuu alicho sema mzee kikwete kwenye hayo maandishi yaliyo kolezwa kwa mlalo. Wewe unaelewa nini anaposema "atatafuta mtu wa kwenda nae?"Unamaanisha nini?
Mbowe alikuinamisha!Hivi Mbowe alienda bungeni kwa kuiba kura ehe?
Cha ajabu ni pale CCM itakapozira kuiba kura.... Hilo ndo ajabu analosema Mstaafu aliyegomea ofisiniMzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema...
CCM kuingia makubaliano ya kuwapa wapinzani baadhi ya majimbo kwa kuwatangaza washindi.Mambo ya ajabu yanaweza kuwa kama yapi?