Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

Huenda anampiga mavituz Maza huoni anavyorembua
 
Nimenukuu alicho sema mzee kikwete kwenye hayo maandishi yaliyo kolezwa kwa mlalo. Wewe unaelewa nini anaposema "atatafuta mtu wa kwenda nae?"
Kwani Kabla ya hapo Mpango alikua ni Nani? Kwani Rais Samia hakua na uwezo wa kumteua mtu mwingine kuwa makamu?
 
JK ni mwanadiplomasia bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania. JK, Salim Ahmed Salim na JK Nyerere ndo wanadiplomasia makini zaidi. Mama Samia naye anafuata nyendo za hao nguli ndo maana uongozi wake ni bora.
Bila katiba mpya na kuleta utawala wa sheria wa uwajibikani hata kuwa tofauti na hap wengine ambao hujawataja hapo
 
Ujumbe kwa Dr. Isdori Mpango kuwa umakamu wake unaweza kuishia hapo.
2025 atapata mandate yake yeye akiwa yeye sasa ndiyo Rais, nayeye atatutafutia mtu mwingine atakayekwenda naye
Huo utanaduni haupo ,sisi tunataratibu zetu ambazo LAZIMA ZIFUATWE,ni kifo pekee kitamyima makamu kumaliza miaka 10,akitoka Rais mkiristo[mkatoliki] anafuata mwisilamu .
 
Akili zake bado zinawaza ccm tu!hovyo kabisa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nilikuwa naitafakari hiyo kauli.
Kukatokea kikundi cha walafi na walaghai ndani ya CCM, kikasaliiti na kuungana na wahuni wengine kuteteresha ushindi wa CCM.
Labda hilo litokee, lakini CCM iko imara sana na ingali na uwezo wa kunusa na kubaini harufu ya wasaliti na kuwashughulikia haraka.
 
Kwahiyo Mzee Kikwete anampinga Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere aliyesema Wapinzani watatoka CCM?
 
Mungu fundi sana, laiti Waugwadu mimi ningekuwa na mamlaka ya kurudisha mtu kwa mbadala ya mwingine kuondoka duniani.😅

Kuna wapuuzi kibao ilibidi wasepe warudi watu makini kwa nchi hii walioondoka ingali tunawahitaji.
 
Ujumbe kwa Dr. Isdori Mpango kuwa umakamu wake unaweza kuishia hapo.
2025 atapata mandate yake yeye akiwa yeye sasa ndiyo Rais, nayeye atatutafutia mtu mwingine atakayekwenda naye
Kwa hiyo hamna mtanzania mzalendo zaidi ya mzairois
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…