Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

Nyuzi za ki puuzi zinafunguka, nyuzi za akili kubwa hazifunguki, shida nin ?
 
Ujumbe kwa Dr. Isdori Mpango kuwa umakamu wake unaweza kuishia hapo.
2025 atapata mandate yake yeye akiwa yeye sasa ndiyo Rais, nayeye atatutafutia mtu mwingine atakayekwenda naye
Itakuwa kosa kwa Samia kumuacha Dr Mpango sbb ni mzuri technically latika masuala ya uchumu kuliko Hawa tiliwazoea
 
Ila JK amejitahidi sana kujiwekavizuri kiafya. Nadhani kwasababu anajali sana kula kwa afya na mazoezi. Halafu maisha yake easy going umpinge umtukane anapotezea na kupuuza. Kingine kikubwa yuko karibu sana na tge national treasure professor Janabi kuna msemo wa kiswahili unasema ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.
 
Nimejaribu kufikiria 2025 upinzani ukashinda uchaguzi mkuu, inamaana kuwa CCM itakuwa upinzani.

JK Kikwete, Warioba, Makonda, Wasira, Malecela, Msekwa, Getrude Mongela, Sophia Simba na wengineo watakuwa ni wanachama wa upinzani.

Fikira zangu haziwezi kutimia🤣🤣.

Inawezekanaje kuitoa CCM madarakani wakati wananchi wanasema hawataki kujiandikisha kwasababu matokeo ni lazima CCM ishinde?? Wanaojiandikisha ni wanaCCM wao huwa hawasusii uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…