econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Na karume alikuwa mkristo!!?
Ukifikisha miaka sitini na mbili ya Magufuli utànikumbusha
Utakuwa haupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na karume alikuwa mkristo!!?
Ukifikisha miaka sitini na mbili ya Magufuli utànikumbusha
Mpumbavu mmoja wewe roho mbaya kwako nikufukuzwa kazi kisa chet feki..Nimeongelea Rais Mkristo mwenye roho ya kiibilisi. Kuhusu Karume waislamu wenzake walimshugulikia ipasavyo, walimlima Risasi za kutosha.
Kama sitakuwepo utakuwa ahera kitamboUtakuwa haupo
Hahahaha umepanik broAkili huna mwehu ww
Kulia kupokezana hii ni zamu yetuIla ccm wana maneno jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo familia ya magu wanajisikiaje
Yule mwamba aliwanyoosha wengi sana alikuwa anataka kuondoa ufalume kwa wale wanaojiona wana hati miliki ya hi nchi
Hongereni kwa kumuuaHalafu yeye akataka kujenga hatimiliki ya ufalme wake. Tit for tat. Aliwazuia wenzake na wao wakamzuia yeye.
Sijamtaja mm.JPM alisimamia Hali gani?
Wachawi na wauaji huwa wanaishi muda mrefu sana.
Ila watu wema Mungu huwa anawachukua mapema ili wasiharibike.
XSafi sana mzee anaona mbali. Ccm oyeeeee.
Hongereni kwa kumuua
Ngoja tusubiri kama mtaishi milele
Sasa huyo mzee mpumbavu kuna jambo lolote la maana analo kichwani??Hata watu wabaya huondoka mapema. Vibaka wanaochomwa Moto majambazi wanaolimwa Risasi na polisi, madikteta uchwara wanaopindukia.. ujumbe wa makamba umefika palivyo.
Hizo kufuru sasaNa Mtume Mohamed alikufa savabu alikuwa na madhambi kibao ndio maana alikufa
Akina kinana na kikwete watakatifu kuliko mtume Mohamed ndio maana wako hai
Waislamu hongereni kupata watu wazuri kuliko.mtume Mohamed aliyekufa akina Mzee Makamba, kinana na Kikwete ambao hawafi kwa sababu ni wazuri kuliko Mtume Mohamed mumepata mitume wapya Mzee Makamba,Kikwete na Kinana anzeni kuwaabudu
Huyo mzee ni mmoja wspo wa watuhumiwa namba moja juu ya kifo cha mzalendo wetu no1 hivyo yupo tayari taifa liteketee kuliko kuja kutiwa hatiani kuhusu uhaini .Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Kipindi yule yupo hai, walikuwa wanamsifia sana. Sahivi wanamsema vibayaAnataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.