Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Hata Kagame halindwi na watu wa miraba minne as wanyarwanda majority ni wembamba, achana na issue za usalama aiseee, ungeleta chokochoko ndio ungeisoma namba halisi ya viatu vyake… waulize waliotaka kuleta mapinduzi nn kiliwakuta…

..jaribio la mwisho la mapinduzi hapa Tanzania lilikuwa mwaka 1983 wakati wa Mwalimu Nyerere.

..wahusika wa jaribio hilo mmoja aliuwawa, mwingine alikimbilia Uingereza, na waliobaki walikamatwa na kufikishwa mahakamani.

..baada ya 1983 hakujawahi kuwa na jaribio la mapinduzi hapa Tanzania.
 
Ujinga huu utatugharimu, Anahitajika mtu wa kujitoa kafara.

Kwann asiseme tuna kazi kubwa ya kukuza raia watakaoipigania nchi yao, wasio waoga na wenye kuhoji ufisadi, Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka?
 
..jaribio la mwisho la mapinduzi hapa Tanzania lilikuwa mwaka 1983 wakati wa Mwalimu Nyerere.

..wahusika wa jaribio hilo mmoja aliuwawa, mwingine alikimbilia Uingereza, na waliobaki walikamatwa na kufikishwa mahakamani.

..baada ya 1983 hakujawahi kuwa na jaribio la mapinduzi hapa Tanzania.
Aliuawa kwa viboko sio! Pia uelewi kusoma maandishi? Usalama sii lazima washike vyuma, sio lazima wavae sale, sio lazima uwajue…. Endelea kubishana na nafsi yako mwenyewe… Nyerere alilindwa mpaka kufa kwake, same kwa Mkapa na mpaka kina Lowassa wanalindwa we unaleta stori kwenye vitu serious. Achana na propagandists akiwemo mzee Nyerere mwenyewe kutaka kuonyesha hakuwa na maadui.
 
Zanzibar? si mlisema nyie kwamba ni Kanda ya Ziwa ndio wanampenda Magufuli na sio watanzania wote au mmeshahau hilo muda utaongea 2023 inaingia
Kama ule utawala wa kibabe wa JPM ungefika huko Zenji, sina shaka huyo mzee, na wa Zanzibar wengine, wangetamani hata 'WAMKARUME' kabisa, tofauti na wa bara ambao walikuwa wanaomba tu Mwenye Enzi Mungu AAMUE vita, tukiongozwa na Mzee Makamba, Nape, na bila kumsahau mama yaje Kabendera!
 
Atakae tokea a taanza na kukagua vyeti vya chekechea.
 
Huyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Na wewe ni nani katika nchi hii? Hii nchi ina wenyewe tofauti na watanzania?
 
Aliuawa kwa viboko sio! Pia uelewi kusoma maandishi? Usalama sii lazima washike vyuma, sio lazima wavae sale, sio lazima uwajue…. Endelea kubishana na nafsi yako mwenyewe… Nyerere alilindwa mpaka kufa kwake, same kwa Mkapa na mpaka kina Lowassa wanalindwa we unaleta stori kwenye vitu serious. Achana na propagandists akiwemo mzee Nyerere mwenyewe kutaka kuonyesha hakuwa na maadui.

..sikiliza bwana mdogo; nyerere alinusurika kupinduliwa mara tatu na hakujiwekea ulinzi wa mitutu na mitambo mikubwa-mikubwa kama magufuli. wakati wa nyerere nyambizi ya makaburu wa afrika kusini ilifika mpaka dar-es-salaam. magufuli hakutishiwa hata na sisimizi ulinzi wote ule ulikuwa na ulazima gani?
 
Sikiliza bwana mkubwa, wakati wote wa nyerere Technology ilikuwa bado haija-mature kama zama hizi za kisasa, pili hatua alizokuwa akizichukua Magufuli dhidi ya mapapa wa nje na ndani zilitosha kumfanya ajihami, bahati mbaya nchi kwa sasa imeoza mpaka kwenye kiini… wonder why all the precautions ended up in vain…
 
Kama ule utawala wa kibabe wa JPM ungefika huko Zenji, sina shaka huyo mzee, na wa Zanzibar wengine, wangetamani hata 'WAMKARUME' kabisa, tofauti na wa bara ambao walikuwa wanaomba tu Mwenye Enzi Mungu AAMUE vita, tukiongozwa na Mzee Makamba, Nape, na bila kumsahau mama yaje Kabendera!
Nani kakuambia Mungu anapigana vita vya wanadamu? Hao jamaa walipindua meza, na sasa ndio wanaotunyoosha kisawa sawa, kama taifa tumechagua mkoloni mweusi tapeli dhidi ya mkono wa chuma wa wazalendo kwa maslai mapana ya wote.
 
Watu wapo tena wengi Ila hawapati fursa ya kupata chance za uongozi
 
Soma tena uelewe.
Acha papara.
Naongelea kumchezesha movie mama.
Endelea tu na kukariri ujinga. Royal Tour is the real deal. Imetutangaza kimataifa kuliko strategy yeyote ambayo imewahi kufanywa previously
 
..kwenye kuwadindia wazungu Magufuli hawezi kumfikia Nyerere hata siku moja.

..Nyerere aliwahi kukataa msaada wa Uingereza na alivunja mahusiano ya kibalozi nao mwaka 1965.

..Nyerere pia alimtimua Balozi wa Ujerumani Magharibi kwasababu walitulazimisha tusiwe na mahusiano na Ujerumani Mashariki.

..Vilevile Nyerere alishatimua maofisa wa ubalozi wa Marekani hapa nchini, na wao wakatulipizia kisasi kwa kutimua maofisa wetu.

..Tanzania tuli-support harakati za ukombozi kusini mwa Afrika kinyume na matakwa ya mataifa ya magharibi.

..Na Mwalimu Nyerere alikuwa akitofautiana na mabeberu kwasababu ya kutetea haki, na utu wa Muafrika.

..Magufuli alikuwa akikosana na mabeberu kwasababu ya kukandamiza demokrasia na haki za Watanzania. Magufuli alikuwa na damu ya Watanzania mikononi mwake.
Unanambiaje Nyerere alifukuza mabalozi wa Ulaya na akawakazia wazungu wakati alipougua alienda kufia London's Saint Michaels ?

Character of a man is measured at times of crisis. Julius Nyerere hawezi kufunga kamba za viatu za Pombe Magufuli.

Pombe alipougua alifia hospitali ya serikali wanapofia the vast majority of us. Sisi tunazaliwa na tunafia Bugando, Ilala Amana, Mwananyamala, KCMC, Ocean Road, Lugalo, Mvumi Mission, Mzena, Sinza Palestina, Tumbi. We will never have the world class luxury of seing a doctor at London's Saint Michaels.

Halafu akasema na chanjo zenu hatutaki. Kwa nini miaka yote hamja scramble kutafuta chanjo ya Malaria na Ukimwi ? Arm chair critics wa JF wakamwambia Malaria na Ukimwi ni madhila yenu Waafrika, kwa nini mzungu akutafutieni dawa ?

Oh well, basi Uviko 19 nao ni msala wenu wazungu, kunyweni dawa zenu. Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya madawa ya Pfizer akaiambia BBC kwamba huyo Rais wa Afrika yuko sahihi, sisi uzunguni ndio tunafyekwa na Uviko 19. Na ni kweli hatuku scramble kutafuta chanjo ya Malaria, TB, Ebola, Ukimwi, Vipindupindu na migonjwa inayoua Waafrika.

Ilipokuja zamu yake kuhesabiwa hakusujudu mzungu, tukafa nae kwenye hospitali zetu za serikali uswahilini. Hakwenda hata Agha Khan.

Pombe Magufuli, patriot to the bone.
 
Unanambiaje Nyerere alifukuza mabalozi wa Ulaya na akawakazia wazungu wakati alipougua alienda kufia London's Saint Michaels ?

Character of a man is measured at times of crisis. Julius Nyerere hawezi kufunga kamba za viatu za Pombe Magufuli.

Pombe alipougua alifia hospitali ya serikali wanapofia the vast majority of us. Sisi tunazaliwa na tunafia Bugando, Ilala Amana, Mwananyamala, KCMC, Ocean Road, Lugalo, Mvumi Mission, Mzena, Sinza Palestina, Tumbi. We will never have the world class luxury of seing a doctor at London's Saint Michaels.

Halafu akasema na chanjo zenu hatutaki. Kwa nini miaka yote hamja scramble kutafuta chanjo ya Malaria na Ukimwi ? Arm chair critics wa JF wakasema Malaria na Ukimwi ni madhila yenu, kwa nini mzungu akutafutieni dawa ?

Magu akajibu basi Uviko 19 nao ni msala wenu wazungu, kunyweni dawa zenu. Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya madawa ya Pfizer akasema huyo Rais wa Afrika huko yuko sahihi, sisi uzunguni ndio tunafyekwa na Uviko 19.

Ilipokuja zamu yake kuhesabiwa hakusujudu mzungu, tukafa nae kwenye hospitali zetu za serikali uswahilini. Hakwenda hata Agha Khan.

Pombe Magufuli, patriot to the bone.

..mbona Jpm alikuwa anatumia pace-maker iliyotengenezwa na mabeberu?

..angekuwa mzalendo wa kweli angekataa pace-maker ya mabeberu na kutumia iliyotengenezwa hapa Tanzania.
 
"Great minds discuss ideas and issues but simple minds discuss people and events", Tuache hii tabia ya kujadili watu na matukio tujikite kujadili mada husika
he is being discussed in connection to his statements taking into consideration that the person whom he is talking to ruled our country in a draconian manner in which people in the country during his reign were all frightened due to his conducts of killing, unlawful incarceration, unlawful freezing of accounts of the people, unlawful banning of political rights eg political rallies, abduction by the so called unknown people, nepotism by giving tenders to his family related company eg mayanja construction, larceny of public funds and violating several laws of the land.
 
Unanambiaje Nyerere alifukuza mabalozi wa Ulaya na akawakazia wazungu wakati alipougua alienda kufia London's Saint Michaels ?

Character of a man is measured at times of crisis. Julius Nyerere hawezi kufunga kamba za viatu za Pombe Magufuli.

Pombe alipougua alifia hospitali ya serikali wanapofia the vast majority of us. Sisi tunazaliwa na tunafia Bugando, Ilala Amana, Mwananyamala, KCMC, Ocean Road, Lugalo, Mvumi Mission, Mzena, Sinza Palestina, Tumbi. We will never have the world class luxury of seing a doctor at London's Saint Michaels.

Halafu akasema na chanjo zenu hatutaki. Kwa nini miaka yote hamja scramble kutafuta chanjo ya Malaria na Ukimwi ? Arm chair critics wa JF wakasema Malaria na Ukimwi ni madhila yenu, kwa nini mzungu akutafutieni dawa ?

Magu akajibu basi Uviko 19 nao ni msala wenu wazungu, kunyweni dawa zenu. Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya madawa ya Pfizer akasema huyo Rais wa Afrika huko yuko sahihi, sisi uzunguni ndio tunafyekwa na Uviko 19.

Ilipokuja zamu yake kuhesabiwa hakusujudu mzungu, tukafa nae kwenye hospitali zetu za serikali uswahilini. Hakwenda hata Agha Khan.

Pombe Magufuli, patriot to the bone.
ulishawahi kwenda kutibiwa mzena hospital au unajiongelesha humu jf ni wangapi huwa wanatibiwa mzena unaijua mzena hospital iko wapi acha kupotosha wewe eti alifia hospital zetu.
 
Huyo kijana hawezi tokea maana waliisha andaana akitoka huyu anakuja yule, ile safu yao lazima kizazi chote kiishe ndo huyo kijana aandaliwe.

Rip jpm
 
ulishawahi kwenda kutibiwa mzena hospital au unajiongelesha humu jf ni wangapi huwa wanatibiwa mzena unaijua mzena hospital iko wapi acha kupotosha wewe eti alifia hospital zetu.
Nani hapa hajui ilipo Mzena Hospital ?

Mzena ni hospitali ya umma. As decrepit and unfit for purpose as any other government hospital. Kuwa ya watumishi wa Usalama haina maana ina huduma za John Hopkin's Hospital.

Mzena ingekuwa sio decrepit kama Mwananyamala au Muhimbili basi Kikwete asingeenda kutobolewa tezi dume John Hopkins, Maryland.

Na Mama Janet Magufuli alipoumwa asingeenda Muhimbili kama Mzena Hospital ni Massachussetts General Hospital! JPM kafia mikononi mwa Prof. Janaba, dokta wa Muhimbili. If hospital X is the source of experts to hospital Y, then how can hospital Y be better than X ? Muhimbili is better than Mzena 10 times over.

Imetangazwa jana Lowassa is fighting for dear life in Johanesburg as we speak. Kwa nini hawakumpeleka Mzena kama Mzena is all that ?
Ikulu wenyewe hawaendi Mzena. Ni Pombe Magufuli peke yake Afrika nzima amekufa kwenye vi hospitali decrepit and disastrous wanakofia watu wake. Fupa lililomshinda Julius Nyerere.

Pombe Magufuli, peerless patriot and public servant per excellence.
 
Back
Top Bottom