Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.

“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.

View attachment 2462495
Magu alisikika akisema " Nileteeeeeeni,....................zaidi ya mara tatu.
 
CCM inaogopwa ndo maana unaona wanachama wakiwa wengi huko.

Siku ikikosea zindiko lake la kafara na ikqjikuta ipo nje ya utawala ndo utagundua wwnachama wake wengi ni askari wetu
Yule muungu wao tegemezi aliyekuwa juu ya mlima mrefu kuliko yote Afrika AMEUWAWA,

Wafungwa wote pingu zimewaachia, wanakuja Kwa Kasi kuufunika uso wa Nchi Kwa SHANGWE na FURAHA tele,

2023 utaona mambo ambayo hukuwahi tegemea kuyaona.

Aamen.
 
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.

“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.

View attachment 2462495
Wananchi gani wanataka Magufuli mwingine?

Umekula makande halafu ukaenda kuvuta bangi chooni ndiyo unakuja kuandika UHARO hapa?

Mungu aliamua March 17 2021 kuwa Tanzania haitotawaliwa na DUBWASHA kama Magufuli tena. Mbona mnakuwa wagumu kuewa?Hatutaki tena like DUBWASHA kama Magufuli lianze kuteka watu, kuua wakosoaji, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara na kuiba uchaguzi wote wa 2020 ili atawale milele.
 
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.

“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.

View attachment 2462495
Hivi huyu Mzee Mohamed Juma ana akili sawa sawa kweli? Au anajitakika Mirembe hospital akapimwe.!!

Yaani tulete jitu la kuua, kunyang'anya mali za wafanyabiashara??! Hapana huko haturudi. Ni makosa walifanya Kamati Kuu ya CCM na JK mwaka 2015, ila haitatokea tena
 
Kwenu walamba asali. Kamba zenu zimeshaongezwa urefu sasa mnakula hadi na waarabu.
 
Hivi huyu Mzee Mohamed Juma ana akili sawa sawa kweli? Au anajitakika Mirembe hospital akapimwe.!!

Yaani tulete jitu la kuua, kunyang'anya mali za wafanyabiashara??! Hapana huko haturudi. Ni makosa walifanya Kamati Kuu ya CCM na JK mwaka 2015, ila haitatokea tena
Kwani JPM nani alipanga itokee?
Mambo mengine ni Mungu hutenda kwa makusudi yake maalum.
Kuna mambo ilibidi lazima JPM awe Rais ili yatendeke.
Akiona tena wazungu wanaaza kutuchezeshea Movie Rais wetu anaweza tu akaamua -"...namleta tena mwingine"
 
Huyo mzee lazima atakuwa shabiki wa Yanga maana kaongea kama punguani.
TUMPUUZE huyo mhuni aliyezeeka.
 
Magufuli ndio alikuwa mpumbavu. Unaiba kura halafu unakufa na kuacha wafu wengine wakifaidi. Big fool bastard.
Hivi wewe unaakili timamu kweli yaani lisu apate Kura nyingi zaidi ya mgombea wa CCM?kapimwe akili.
 
Kwani JPM nani alipanga itokee?
Mambo mengine ni Mungu hutenda kwa makusudi yake maalum.
Kuna mambo ilibidi lazima JPM awe Rais ili yatendeke.
Akiona tena wazungu wanaaza kutuchezeshea Movie Rais wetu anaweza tu akaamua -"...namleta tena mwingine"
Wazungu gani ambao Magufuli alwazuia wasituchezee? Au unapumbazwa na soga za makinikia? Kwa taarifa yako hatukupata kitu, ila kwa umbumbumbu wako utabisha
 
Hivi wewe unaakili timamu kweli yaani lisu apate Kura nyingi zaidi ya mgombea wa CCM?kapimwe akili.
Wewe unayeamini kuwa Magufuli alipata 82% ndiyo mpumbavu. Hawakuwapo watu wa kumpa mgombea mmoja zaidi ya 60%. SEMA Magufuli hata kuiba kura hajui.
 
Huyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Wauza kahawa ni wazambia? Mdukuzi wa kishamba sana wewe, ulitaka aongee Nape Nauye au Mbowe sio! Mwananchi wa kawaida ndio mwenye kura mkononi, japo hamuzijali kiivyo na siasa zenu maji taka…
 
..angekuwa tayari kwa lolote asingejiwekea ULINZI mkubwa kiasi kile.
Raisi anajiwekea ulinzi au ni mapendekezo ya maafisa usalama kulingana na hatari iliyopo… kwa hiyo raisi anajiapisha sio? Raisi anajipigia kura sio! Acha ushamba… kuna mamlaka juu ya mamlaka…
 
Back
Top Bottom