Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

Ikitokea mwanazuoni wa Kikristu akawa na historia kama ya Mzee Mwinyi Lumumba mtasema mfumo Kristu
 
Hivi kipindi cha mkapa na magufuli waliokuwa wanalalamika kuwa nchi inaendeshwa kikristo na kuwa teuzi nyingi zinaenda kwa wakristo walikuwa wagalatia?
 
Mara ya nyingi hayo ni mawazo tu mkuu
Mbona wengine sisi wakristo lakini bim mkubwa rais samia tunamfurahia!

Ova
 
Babu ubinadam kazi watu wangeweza kupuzia haya mambo ya udini haya malalamiko wala usingeyasikia

Ova
 
Hivi mzee Mwinyi anaishi wapi now? Dar au zenji?
 
Asilimia kubwa ya wakristo siyo watu wa kulalamika

Ova

Siyo watu wa kulalamika??

Aliowasema Mzee mwinyi kuwa eti alikuwa anawapendelea waislam kwenye uteuzi wake ni waislam?si ni hawa Galatians,waliokuwa wanampigia kiwwte kuwa alikua anateua waislam wenzake ni kina nan,na hao wa hapa juz waliokawa wanampigia kelele mama kwenye uteuzi wake ni kina nani??

mmesahau miwaraka yenu ya malalamiko enz za utawala wa Kikwete??we una umri gan kwan
 
Kwa hio kiufupi Mwinyi ni mtu wa bara
 
,,y
 
Babu ubinadam kazi watu wangeweza kupuzia haya mambo ya udini haya malalamiko wala usingeyasikia

Ova
Wapuuzie vip sasa Ili hali mnaongea??

Unapuuzia vip kitu mnachopigia kelele Tena hata kama hakipo?

Wakupuuza basi angekuwa mzee mwinyi,Ila mbona kakiandika,we hujiulizi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…