Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ikitokea mwanazuoni wa Kikristu akawa na historia kama ya Mzee Mwinyi Lumumba mtasema mfumo KristuMzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!