Kenya 2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

Kenya 2022 General Election
49.997% = 50.00%.
Rounding off ya nini mkuu, rule ni 50%+1 kwa hiyo kama matokeo ya IEBC ndio yatatumika mahakamani then rounding off ni makosa. Sababu gap ya asilimia ya kufika 50+1 kwa Ruto ni 0.49 ikimaanisha uki round off the nearest zero matokeo yanakua tofauti kabisa na contradictions zitaongezeka.

Tatizo hapa gap ni ndogo so slightest mistake inaweza badili matokeo yaani katika kura million 14+ gap ni laki 2 pekee so rounding off bila umakini inaweza vuruga uchaguzi.
 
Hata wewe unajiandikia bila kuwa na uhakika. Ndiyo maana mahakama ikawepo kwa sababu itasikiliza pande zote na kulinganisha.
 
You are right. Hakuna haja ya kulumbana kwani kesi imeshapelekwa mahakani na siku si nyingi uamuzi utatoka. Anayesema Raila atashindwa mahakamani hana uhakika kwa sababu hana ushahidi na anayesema atashinda naye hana uhakika kwani hana ushahidi.
 
Huyu mzee japo nampenda ila kama hana ushahidi asitupotezee muda na taharuki zisizokua na tija, Ruto kesha anza kujichimbia tayari kwa kushawishi wanasiasa ambao wanahamia kwake, kwamba hata tukirudia uchaguzi atashinda tu, keshakaa mkao wa urais.
Anakupotezeaje muda wewe na anakupotozea muda wewe na nani? Mahakamani ni sehemu ya kutafuta haki na siyo sehemu ya kupoteza muda.
 
Mi ambae sijui hesqbu...
Najua 0.1 % zilikua kura kibao..
Sijui watu kwanini wanali overlook hilo
Hizo asimilia zinawakilisha kura nyingi
I
 
Hata yeye kafanya hivyo hivyo hapo lazima zilikuwepo zaidi ya hizo three decimals akaamua kuchagua hizo three decimals badala ya two decimals.
 
Huyu Jamaa alie fariki. Ni msimazi mkuu wa Uchaguzi ktk Jimbo la Kirinyaga. Jimbo hili kuna kura zaidi 23,500. Zime piga katika nafasi ya Urais pekee ila ktk Nafasi ya Ugavana hazionekani. Hivyo kuna feki 23,500 aliongezewa Ruto. Ktk Jimbo hili, mshindi wa Ugavana ni wa UDA, ya Ruto. Huyo Returning Officer ali fariki gafla tu ktk office za IEBC alipo itwa. Ikumbukwe huu ni ushaidi wa Raila no 96.
 
Kwani katiba inasema mtu akipata 46.5% iwe rounded off to 47%
 
Kwani katiba inasema mtu akipata 46.5% iwe rounded off to 47%
Katiba inasema 50% + 1 vote.

Kura za wagombea hazileti the whole fugure kuna decimals.

Sasa ili kupata the whole figure kama decimals zipo nyingi kanuni ni kutumia two decimals.

Raila anadai kuwa Ruto kapata 49.997%.

Kimahesabu hakuna kitu kama 49.997% kwani namba kwenye decimal inapozidi tano unaifuta na kuandika sifuri halafu moja unaiongeza kwenye namba ya mbele hivyo 49.997% kimahesabu inapaswa kuwa 50.00%.

Vile vile katika hiyo 49.997% bila shaka kuna decimals nyingine mbele ya hizo,kwanini aziache na kuchagua figure hiyo?? Bila shaka it is to his advantage.

Kwa kufanya hivyo haoni kwamba atakua kapunguza kura nyingi tu.
 
Kwahyo yeye na ww nani mjinga babu ahangaike bure bila uhakika?.
 
Kumbe ni kweli mzee aliibiwa asee, hii case anashinda. Angalia hii evidence
 
Hakuna dosari kubwa hapo hata moja.

Zote zimekuwa coated tu.

Maamuzi huwa yanafanyika kwa errors kubwa ambazo haziwezi kuvumilika na zinazoweza epukika.

Hakuna uchaguzi ambao utakosa makosa madogo madogo wala hakuna uchaguzi perfect 100%.
haya maelezo yako ni kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi ya kenya?
 
Mkuu hizo evidence ndizo ana hakika anapeleka mahakamani au ni tayari amewasilisha?.

Nadhani kama ni kweli alifanyiwa hujuma hizo, naamini miaka yote amekuwa mshindi ila ndiyo hivyo hatakiwa na state kuishika hatamu.
 
Hii nchi Ina watu wenye ujinga wa Hali ya juu, kina Odinga wamepeleka evidence mahakamani, nguchiro wa bongo huku ambao hata hawana hata uhakika wa Maisha yao na tozo kibao , wanapanua matako kumtukana Odinga , hii ndio bongo Ni makopo matupu vichwani
 
Kosa la Raila lilianzia kwenye handshake na JK wa kenya sasa hivi Uhuru anamcheka hadharani Odinga anavyolalamika
 
Zaidi ya matusi ubongo wako hauna lolote la ziada.

Yaani umejaa ma.vi tu.

Ubongo wako mzima umejaa uha.ro.
 
Jenga tabia ya kuheshimu mawazo ya watu hata kama huyapendi. Pita tu. Kutukana ina onesha uwezo wako kichwani.

Kama hizo akili unazo kweli mbona huja fungua kesi kupinga Tozo kwenye SAVINGS Bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…