Ni ajabu sana unakuta kampuni kubwa inakufa mikononi mwa hicho kizee kikongwe cha kiswahili wakati kina mitoto kibao tena mingine misomi mikubwa imeajiriwa tu na huko inategemewa sana kwa uwezo wao

Lakini kizee kinakomaa tu kuendesha kinawaona watoto wajinga chenyewe ndio zimo
 
Poleni sana,muwe na subira,nafikiri huyu ndio alikuwa mume wa yule mama wa Pangani,mwenye asili ya makabila ya Pangani.
 
Lala mahali pema mzaa chema.
Nina miaka zaidi ya arobaini ya kuishi Dar. Sijawahi kuona muislamu asiye na pesa au wadhfa akizikwa hapo atakapozikiwa mpendwa wetu.

Je! Kisutu Kuna nini?
Mjomba yangu,tumemzika hapo,usafiri wake ni baiskeli,Dar,hata hela ya daladala,ilikuwa shida.
 
Lala mahali pema mzaa chema.
Nina miaka zaidi ya arobaini ya kuishi Dar. Sijawahi kuona muislamu asiye na pesa au wadhfa akizikwa hapo atakapozikiwa mpendwa wetu.

Je! Kisutu Kuna nini?
Aunt yangu tumemzika hapo na wala ss sio mabwanyenye
 
Lala mahali pema mzaa chema.
Nina miaka zaidi ya arobaini ya kuishi Dar. Sijawahi kuona muislamu asiye na pesa au wadhfa akizikwa hapo atakapozikiwa mpendwa wetu.

Je! Kisutu Kuna nini?
Yale ni makaburi ya watu maarufu.
 
Siku ya leo hii....yaani nimeamka nasikiliza wimbo wa GK tutakukumbuka daima milele mara unaisha tuu simu inaingia ya kuondokewa na binamu yangu hapo Muhimbili.
Mkuu Poleni kwa msiba. Huo wimbo, Crazy GK mwenyewe alisema kwenye interview moja kuwa kwa sasa anauogopa sana huo wimbo, maana akiusikia redioni anajua kuna mwamba ametangulia.
 
Usikate tamaa lakini usiwaibie wenzako Wala usiiibie serikali na mwisho kabisa achana na utajiri wa kumwaga damu za ndugu zako wa karibu a.k.a utajiri wa kikinga na kingoni.

Umeongea ukweli mtupu
% kubwa wanaamini utajiri ni ndagu tu
Ila hawajui wengine tumeendeleza biashara walioanzisha wazee wetu miaka 75 iliyopita na mpaka leo tunaziendeleza na sisi watoto wetu wanazisimamia baadhi na sisi tukiwa nao sambamba kwa hali,ushauri,msaada na hata jasho pia
 
Masikini wengi tu miaka na miaka wanazikwa Kisutu

Wale tuliozaliwa na kukulia katikati ya jiji bila ya kujalisha kipato chako utazikwa Kisutu au makaburi ya Tambaza
Thank you for this vital information.
LABDA ni kwasababu sijaona wakazi wa huku usweken Kimara wakizikwa pale ndio maana nilidhani pale ni ushuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…