Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Khaaa fursa
Tena haswaa aache jipendekeza
 
Ni jambo jema, tukiacha hizi dini tulizoletewa ambazo kwa hakika zina manufaa na ni njema

Sisi ni waafrika tupendane na tusibaguane, upendo kwanza na tuendeleze udugu daima
Hakuna Cha jambo jema hapo,ni unafiki na kutafuta attention tuh hao makafiri,if the had good intention for that why waalike waandishi wa habari waseme eti Mzee wa kanisa afuturisha,hiyo michezo ya kitoto na fikra za kimaskini za makafiri
 
Hakuna cha ajabu, familia yake ina waisilamu wengi huenda kuzidi wakiristu waliomo kwenye familia, na pia huenda alitoka uisilamu akaingia ukiristu, chukulia hili ni tukio la maisha yao ya kila siku.
 
Inapendeza
 
Hakuna Cha jambo jema hapo,ni unafiki na kutafuta attention tuh hao makafiri,if the had good intention for that why waalike waandishi wa habari waseme eti Mzee wa kanisa afuturisha,hiyo michezo ya kitoto na fikra za kimaskini za makafiri
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga, na ukifanya mazuri daima yatakurudia

Ukiwa na fikra mgando huwezi ona nje ya box
 
Nadhani ni ile spirit yao ya kupenda kutoa misaada na upendo ndi tatizo. Sisi hatujazoea haya. Ila nimeshangaa watu kwenda kweli kukaa na kuufinya. Kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Njaa mbaya sana.
Kati ya waislam na wakristo ni kina nani wanatoa misaada sana? Nazungumzia mtu mmoja mmoja kama alivyofanya huyo bwana kufuturisha watu
 
𝒘𝒂𝒍𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒄𝒉𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒂𝒉𝒂𝒖 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒂𝒎𝒄𝒉𝒂𝒑𝒂 𝒗𝒊𝒃𝒐𝒌𝒐 𝒌𝒆𝒔𝒉𝒐 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂
 
Kwa hiyo Kaffir kawafuturisha watu wa mnyazi?
 
Kwahiyo wamekula chaula cha KAFIR?
 
Huku kwetu hakuna ubaguzi wa kidini. waislam kuchimba kaburi la mkristo ni Jambo la kawaida Sana na wakristo vile Ile . Muislam kuwa mpishi mkuu kwenye Shughuli ya wakristo ni Jambo la kawaida Sana. Wakristo kuchoma nyama kisha wakawapa waislam wale ni Jambo la kawaida Sana. Kwenye familia kukuta kunawaislam na wakristo ni Jambo la kawaida Sana na watu wanaishi tu fesh.
 
Ndiyo maana makafir wanaokula pekee yao mchana wanacharazwa bakora. Watusubiri jioni tule wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…