Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Kuna ukweli hawa maaskofu nao Mbona suala la ushoga hawajatoa waraka?kama kweli wanalipenda hili Taifa?
 
Huyu kama mwezi mchanga, Kuna wakati anaongea point, lakini Kwa hili la mkataba hayuko sawa. TEC waraka wao hauzungumzii dini, unazungumzia rasilimali zetu za Taifa kukabidhiwa wageni haiko sawa. Bandari ni geti la nyumba, huwezi kumkabidhi geti la nyumba mgeni akulindie, halafu ukija awe na maamuzi ya kukufungulia au la ukae nje, hapo Sasa ni kwako? Waraka wa TEC upo sawa na umewatoa nyoka wengi pangoni.
 
Ukiona hivyo naye ameambulia mgao wa DPW .
 
uchawa ni tatizo kuliko hata mafisadi nchini kwa sasa
 
Binafsi nimekubali hoja moja ya Mzee wa Upako. Je ni kwanini TEC hawajawahi kuandaa waraka wa kupinga Masuala ya ushoga duniani?? Kama hawajawahi kupinga hadharani Masuala ya ushoga basi tutawatathimini kwamba wameamua kuyapa kipaumbeli Mambo ya Kimwili kuliko yale ya Kiroho.

BINAFSI SINA SHIDA KWA TAMKO, LAKINI KUHUSU YALE YANAYOMCHUKIZA MWENYEZI MUNGU AMBAYO SERIKALI KUBWA DUNIANI ZINATAKA KILA NCHI IHALALISHE NADHANI HAPA TEC WANGEANDAA WARAKA KUPINGA UCHUFU HUU. JE NI KWANINI HAWAKUWAHI KUFANYA HIVYO???
 
Mzee wa BAPA kashasema so kaeni kimya!!
 
Una jazba wewee [emoji1787][emoji1787]

Naona unatafuta "punching bag" ufike "org....m" [emoji1787]

Unapwagaza ARGUMENTUM AD HOMINEM kwa baba mchungaji Lusekelo kisa tu yuko kinyume na maoni yako....saaalaaleeee[emoji1787]
Wee mke wa mwarabu umerudi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…