Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ ๐Ÿ˜€

Hiyo pisi kw Avatar ni ya kwenda mwendo kasi hatari!!! ๐Ÿ‘Œ
 
Kumbe ndio una akili za hivi ๐Ÿค” basi ni halali uniite shoga, sikujua mtu nilie kua natukana nae
 
Huwa nikiona mtu ana matatizo ya R na L kwenye uandishi huwa naona ana uwezo mdogo(IQ).. ama elimu yake ipo chini...

Uandishi huwa unadhihirisha uelewa wa mtu, na wengi inawasumbua.. utasikia "mimi message hapana ni bora unipigie" kumbe suala la uandishi ni mgogoro...
 
Anatumia pigo za TBT za kuandikiana p ..k....
Labda kama wa kijijini kwao ndo wanakubali izo pigo๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ
Huyu mzeee ana matusi mabaya, nikawa najiuliza mmh hivi huyu mtu mbona ana tukana sana kumbe ni Babu Fulani asiejielewa, badala awaze pesa kanawaza mabinti ili kamkimbie mke wake huyu mzeee huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ