Mkuu sasa tusameheane. Yale matusi nilikuwa nayatoa tu kimasihara. Kama yalikuwa yanakukera, I'm sorry.Huyu mzeee ana matusi mabaya, nikawa najiuliza mmh hivi huyu mtu mbona ana tukana sana kumbe ni Babu Fulani asiejielewa, badala awaze pesa kanawaza mabinti ili kamkimbie mke wake huyu mzeee huyu
Au we nae moderator unajipiga bani mwenyewe π πHii mbona melo anaifahamu. Yeye ndiye aliniruhusu kuwa nayo π
Kumbe wewe ni Mzee wangu haya shikamoo Babuπ€£π€£ au unanipanga Mzee wanguMkuu sasa tusameheane. Yale matusi nilikuwa nayatoa tu kimasihara. Kama yalikuwa yanakukera, I'm sorry.
Kumbe chatungiMin utafika umechoka, Kwahiyo umeswitch parody lako uendeleze ukatuni JF?
Yaani mzee mzima unachat na Gen z!!?...akikutumia msg mpigie ongea vitu vya msingi bwaga Acha kuchati na watoto mkuuNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic π
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
Kwamba wazee tukisafisha maini tunakuwa hasara kwa taifa?π€£Wazee kama wewe ni hasara Kwa taifaπ
baaasiiiii kuna nini tenaMungu nifundishe kufunga bakuli π
Hivi papi naona kule umenyea kambi umefanya nini tena?πUshauri murua sana huu, nitaufanyia kazi.
Sawa mkuu pamoja sana βοΈβοΈβοΈMarahaba kijana wangu. Mimi napenda sana amani, ndiyo maana nimeona bora nikuombe tu msamaha kijana wangu pamoja na huu uzee wanguπ
Sawa MzeeNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic π
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
ok.πNimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno.
Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic π
Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi.
Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za kiume.
Andika p badala ya poa utaonekana una uko fair.
Wazee wenzangu tubadilike kupatana na muda.
Cc Dr am 4 real PhD,
Eronda,
Da Dona.
SafiiKwisha habari!
Ila Mimi siyo modi.