Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ ๐Ÿ˜€

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mie siwezi kuomba niwe na parody, ni kumuambia tu wee Max em nitoe kwenye Ban, chaap niko huruu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwenye ban ukitolewa Kuna watu wanaanza kulalamika. Watasema fulani anapendelewa.

Bora uwe na parody ambayo inajulikana na inayoheshimu watu wengine humu ๐Ÿ˜
 
Siwezi kuwa na parody, couz siwezi kujificha, nitajulikana chaapu tu.
Hivyo ni wanitoe ktk Ban tu, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wala hautakiwi kujificha. Kwa mfano Mimi hata sijifichi, natamba ili wale walionishitaki waone na wabanwe na haja kubwa.

Halafu unataka kuniambia siku ili ilipopigwa ban ya wiki hukuja humu? ๐Ÿคฃ
 
Mie nikipigwa Ban, km Max amegoma kunitoa, basi nakuwa buzzy na platforms zingine, siwezi kuwa na maparody.

Yaani siwezi kabisa, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ