Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

Wahouthi ni Mateja ni jamii ambayo haitakuwepo miaka 10 ijayo, fatiltia kama Iran inaruhusu matumizi ya Miraa kama Yemen
Hilo suala la Houthi kutumia miraa Iran wao haliwatatizi linalowahusu na kuwashughulisha ni Houthi kuwa na muunganiko nao.
Ndio maana wanasaidiana hadi jeshi na silaha.
 
GYkIBqlXUAApQf1.jpeg
 
Usiongee kama umelewa pombe ya mnazi.
Unajua bandari ya Eilat imeathirika kiasi gani kwa mashambulizi ya Houthi red sea!?
Unajua shipping cost zilipanda kiasi gani ulimwenguni!??
We jamaa hunaga hoja kabisa.
endelea kujifatiji tu. Maana muda ukifika hutakaa uamini. Hivi mnatumia akili zipi kuwazua haya mambo. Eti US atishiwe na kagenge ka kigaidi. Ni maslahi yake tu hayajaguswa direct
 
Ukiona IDF wanaingia sehemu ujue tayari walishafanya Tathimini .
Nina wasi wasi na hili pia, inawezekana wana intel za kutosha na mikakati ya hatari.

Kama lile bunker buster limepiga likapenya ardhi na layer ya zege la handaki, basi tusishangae wanafahamu silaha za Hezbollah zilipo.
Ina maana kama zipo chini ya ardhi ni bunker buster mbili tu hapo mnapoteana...

Ngoja tuone
 
Lengo la hii Vita ya Lebanon ni kwamba raia wa Israel warudi kuishi Kaskazini mwa Israel bila ya tishio la mashambulizi ya Hezbollah.

Juzi kabla ya kifo cha Marehemu Ayatolah wao Hezbola alisema atahakikisha raia hao hawarudi huko Majumbani mwao.

Hii Vita Hezbollah kaitaka mwenyewe asilaumu mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom