BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Mtasema aisee hakuna takataka hapo middle east ya kumsumbua US au israel kwa sasa haipo. Labda wawe hawajaaamua. Sasa now wameamua kama mbwai iwe mbwai baridaBora hao Hizbollah tena Houthi Israel HAWAWEZI KABBISSA.
USA mwenyewe kawashindwa.