Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Swala la kuomba Mungu vijana wa sasa utakuja shangaa mwenyeweBinti yangu hawezi kuzalia nyumbani wakati baba yake nipo! Hiyo haiwezekani! Na yeye anajua hilo. Nawaombeni wazee wenzangu kataeni ujinga huo wa mabinti kuzalia nyumbani, ni aibu! Wewe baba ambaye binti Yako anazalia nyumbani jitathimini, unapaswa kuwa mkali
Bado mkuu
Silei ujinga mieNaland inaelekea una msimamo wa kipekee mkuu
Na hivo ndo inavotakiwa ππππ€π€
Father utaki utani dah
Matoto ya kiume ya sasa ni mapumbavu labda kazalisha mtoto wa watu then halina time hata kutoa huduma lipo maskani limeweka suruali chini ya kiuno sijui linavuta mabangi ..yaani kichwa empty kabisa halijui dhuluma linayofanya dhidi ya binti wa watu .
Matoto kama hayo ndo yanakuja kufa vifo vibaya kwani nyuma yao Kuna nafsi inasononeka dhidi ya usaliti mbaya ..
Ungemuacha akapata mtu atakaye muoa basi Tamaa za nn ni ushamba...Ndo maana maisha ya vijana yasiyo na future kuvaa uchafu uchafu kuvuta mabangi sijui nn kulewa bila ya sababu ,mara starehe za kijinga ni totally USHAMBA..Mtu mpaka akija jitambua miaka 45 huko basi anaishi kwa majuto kama alikuwa mvuta shisha na mlevi mda huo kashaanza kushambulia na TB na magonjwa ya mapafu ni majuto tu jamani vijana wenzangu.
Tuamkeni kuzalisha ovyo ni laana baada unaenda kuoa kwingine tufikirie mara 2 hali kama hizi ..Mtoto wa mtu kakuamini mpaka kavua nguo then unamuacha solemba nn tunatafuta kama sio laana?
Hahahaπ π π daah huu Uzi bhan kila mtu anakimbia majukumu ,binti ,mama sio babu sio kimarioo
Hakika mkuuHawazilishi kwa kukusuidia, inakuwa hata sio mpango wao kupata watoto. Elimu na huduma za uzazi wa mpango inabidi viboreshwe .
Ikishatokea sasa ndo itabidi wakubaliane na hali.Hawazilishi kwa kukusuidia, inakuwa hata sio mpango wao kupata watoto. Elimu na huduma za uzazi wa mpango inabidi viboreshwe .
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani, Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu. Hili ni tatizo kubwa kwasasa wanawake wanapaswa kujitambua na kujua nyakati zimebadilika na suala la malezi ni jukumu zito. Msichana usipo jitambua ni mzigo kwa wazazi wako. Naandika haya nikiwa Kama mzazi wakiume. Ninyi mabinti ninani aliyewaloga? Hata hivyo serikali inalojukumu la kuanzisha kampeni za uzazi wa mpango kunusuru mabinti na uchumi wao na wazazi wao
Na wakiume wanaolelewa watoto wao kwa wazazi wao nao wakae wakijua inawauma sana wazazi wao!!Tusibaki kuwalaumu wakike tu kwa kuwa hawazai kwa uwezo wa Roho Mtakatifu bali kuna ushiriki wa jinsia Me pia!!!
Kwahiyo tusubiri wanaweza kuwa mabaraka wajaoPamoja na yote nisiache kukumbusha:
"Barack Obama alizaliwa na kulelewa kwa bibi yake mzaa mama yake."
Tumhofie mola ndugu zangu.
Kiukweli haipendezi hata kidogo kuwa na tumifugo tofauti tofauti hapo nyumbani,ikibid hata wawekeeni uzazi wa mpango mpaka pale watakapopata wa kuwaoa
Ebu fikiria ni usiku wa manane na uzee wako unaamshwa umpeleke binti yako akajifungue,fikiria inakera kiasi gani wakati huo kalikompatia mimba kamepiga usingizi kanakoroma tu au kanakula mbususu nyingine kwa raha yake
Unazaa watoto kulingana na kipato chako lakin hao watoto uliozaa nao wanazaa tena kukuongezea idadi ya watoto wakati wewe uliona uwezo wako unaishia watoto wanne
Kuna wakati huwa nafikiria nijenge nyumba mbali na kwangu,binti akipata mimba naenda kumtupa huko apambane na hali yake
Mama yake Obama nae alikuwa kiruka njia,maana nae alikuwa na wanaume 3-4 tofauti.Ila uzuri wake yeye alikuwa na kipato.Pamoja na yote nisiache kukumbusha:
"Barack Obama alizaliwa na kulelewa na bibi yake mzaa mama yake."
Tumhofie mola ndugu zangu.
Kwahiyo tusubiri wanaweza kuwa mabaraka wajao